Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

Wanaume siku hizi wambea wanatushinda Dada zao. Siajabu ana Mchezo ya kupumuliwa so kila mmoja anadhani wa mapenzi wa jinsia moja
Mbona ana vinasaba vyote vya Us.hoga?
Huoni alivyolegea kama uji wa ngano? Anaandika kama vile amelewa gongo.
 
Juzi niliona walitajwa wanaume wanaovutia jf,,hebu leo tajeni wanawake wanaovutia jf,,pia utaje na wanaokuvutia wewe unatamani hata kuonana nae ,,,mim sitotaja msije sema nimependelea nimeona niwaachie nyie wanaume maana ndio mnajua na kuna wengine humu mnaonana kabisa so we taja tu
Lets gooooooooo
Yaani wewe, haya tu acha nimwachie Mungu.
 
Ha ha ha ha eti popcorn. Leo ulishasema hutaki kuchamba mtu wamekuchokoza wenyewe
Ananilazimisha na sipo kwenye mood. Namweka kiporo siku nikiwa kwenye mood hata kama hajanichokoza nakumbushia hii ya Leo.
 
Yah ni kweli kabisa
Sure ukitegemea humu JF mtu akutaje wakati huyo uyo ana washikaji zake. Watatu au wanne[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] humuhumu izo nindoto ambazo wahenga tunaita ndoto za abunuasi .[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Mie simo.
 
Sure ukitegemea humu JF mtu akutaje wakati huyo uyo ana washikaji zake. Watatu au wanne[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] humuhumu izo nindoto ambazo wahenga tunaita ndoto za abunuasi .[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Mie simo.
😀😀😀😀😀😀😀😀 na kweli mimi uwa nashindwa kumention maana wapo wengi
 
nikishafunga jf nasahau kila kitu nakumbuka tena kama kuna jf ninapoifungua tena hivyo ya humu jf siendi nayo kokote nayaacha humuhumu hivo sina ninayemchukia wala kumuhusudu huwa,hatuishi humu wala kufahamiana physically.
 
Hahahah, hapo hakuna nnae mshobokea
Ila the bold since way back namkubali, michango yake if he really does what he writes here, then he must be a bomb!!!
But kuna wengi tu low profile,including baby Mapi. Kaka angu Mentor na marafiki zangu wengine dah leo nimekumbuka the old jf!
 
Dada yangu emmyta namkubali sana .bado najifunza kutoka kwake...nampenda sana hata kama huu Uzi unataka wanaume ndo wataje.
 
Back
Top Bottom