Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

Umenikosea sana kuniita hilo jina. Mimi napenda tuheshimiane tu vizur maana hatuonani. Kwa mimi nliyezaliwa 70s bado sidhan hata ungekuwa umezaliwa miaka ya 60 ungeniita hilo jina. Sidhan kama ni jina zuri.
Bwana mdogo....usiwe na wasi wasi....na sisi wazee.....pumzi zetu ndogo tunaogopa kufia kifuani.....
 
Mleta mada ana IDs mbili katika hayo majina. Anapima upepo halafu anakuja kujisupport yeye mwenyewe. Angekuwa serious asingeweza kumwacha mwanaume ambaye anagombewa humu JF gudume. Mwenye sound na story za kitaa,jibaba, pesa ipo na mikuno safi kabisa. Badala yake anajiweka yeye na kuji support.

Mimi sina maneno ni muendelezo ule ule wa chuki za shetani kwangu. Sisi wengine ni kama tuna damu ya kunguni. Wadau 8/8 naomba niwaalike kwangu nitachinja mbuzi nichome. So wale ambao wana nafasi tuwasiliane private nione tunafanyaje.
Hahahaha GuDume mkuu
 
Umenikosea sana kuniita hilo jina. Mimi napenda tuheshimiane tu vizur maana hatuonani. Kwa mimi nliyezaliwa 70s bado sidhan hata ungekuwa umezaliwa miaka ya 60 ungeniita hilo jina. Sidhan kama ni jina zuri.

Nakutaka radhi ndugu yangu......

Nakiri kuwa ulimi umeteleza......

Japo hatuonani lakini mshikamano wetu hapa ni wa zaidi ya udugu.....hivyo basi si vyema kukwazana.....

NISAMEHE NDUGU YANGU.....

Uwe na wakati mwema ndugu yangu....
 
Hahahah shemela wangu wa ukwee

Lazima upambane na hali yangu

Ndo maana blaza akikuacha nakuoa mimi mwenyewe
AHAHAHAHHAHAHHAHAHAHHAHAHAHAHHAHAHA !nakuachaje sasa!
unataka nikaolewe kwingine ili nipate shida Dec!
Aku!
mamsera na mangulwa si hapo na hapo!
sitaki shida mimi!
 
AHAHAHAHHAHAHHAHAHAHHAHAHAHAHHAHAHA !nakuachaje sasa!
unataka nikaolewe kwingine ili nipate shida Dec!
Aku!
mamsera na mangulwa si hapo na hapo!
sitaki shida mimi!
Mpk sasa sijaona umemtaja anaufubata moyo wako hapa JF. Sitaenda kukusemelea kwa kaka...
 
Mpk sasa sijaona umemtaja anaufubata moyo wako hapa JF. Sitaenda kukusemelea kwa kaka...
ehehehehehen
akhu!
nishamkopia hili lisredi lote!
af nimemmenction kwa chini!
SITAKAGI KESI MIMI!
 
Kuna kichwa kimoja haujakitaja hapo,yaani huyo ni noma EMT
Thanks for "espying" my writings. You're smarter to have observed that.
... Kuna comment moja alishushaga nikajikuta namfuatilia tu.
Be careful though b'se mwanamke wa mwisho kunifuatilia aliishia kupata a restraining order. 🙂
 
Hahahah, hapo hakuna nnae mshobokea
Ila the bold since way back namkubali, michango yake if he really does what he writes here, then he must be a bomb!!!
But kuna wengi tu low profile,including baby Mapi. Kaka angu Mentor na marafiki zangu wengine dah leo nimekumbuka the old jf!
moyo wangu, moyo wangu..........
 
Back
Top Bottom