White drone
JF-Expert Member
- Mar 20, 2023
- 201
- 386
Sawa mkuu, nasubiri wajuzi wa mambo wajeUna hoja usikilizwe
Hii hoja kubwa..!! Maana hapana zikifika zaidi ya nusu mgombea si anakuwa hajashinda..!!??Kwa mujibu wa kanuni za uchaguzi wa serikali za mitaa za mwaka huu hakuna mgombea atakaepita bila kupigwa badala yake kutakuwa na kura ya NDIO au HAPANA kama itatokea mgombea ni mmoja katika nafasi husika.
Vyama vya siasa vina haki ya kuweka mawakala katika vituo vya kupigia kula ikiwa vimetoa wagombea lakini ikiwa havina wagombea hawawezi kuweka mawakala wao.
Swali langu: Ni nani atakaehakikisha kula za HAPANA zinalindwa wakati wa kuhesabiwa ukizingatia hakuna mawakala wa vyama vingine?
Nazungumzia uchaguzi wa serikali za mitaa ambao unasimamiwa na TAMISEMI na katika ngazi za vituo unasimamiwa na watendaji wa mitaa ambao ni marafiki wakubwa wa wenyeviti wanaopigiwa kura, katika mukhtadha huo unaona ni rahisi mtendaji kukubali kura za HAPANA ziwe nyingi kuliko kura za NDIO?Tume huru ya uchaguzi inalinda maana ndio maana ya u-huru wa tume.
Umemaliza kila kitu mkuu ikiwa kanuni zinasema hivyo basi kura ya HAPANA italindwaVyama vyote vitaweka Mawakala kwenye vituo vyote vya kupigia kura, kwa kuwa kura ya "hapana" nayo ni maamuzi ya wananchi!!
Hakuna SHERIA inayosema usipokuwa na mgombea chama Cha siasa hakiruhusiwi kuweka wakala kwenye kituo Cha kupigia kura. Chaguzi za nyuma waliogopa gharama tu na hawakuwa na la kupigania lkn kwa Sasa watu wao wameenguliwa kiulaghai watahitaji uchaguzi mwingine
Mapungufu ya kanuniKwa mujibu wa kanuni za uchaguzi wa serikali za mitaa za mwaka huu hakuna mgombea atakaepita bila kupigwa badala yake kutakuwa na kura ya NDIO au HAPANA kama itatokea mgombea ni mmoja katika nafasi husika.
Vyama vya siasa vina haki ya kuweka mawakala katika vituo vya kupigia kula ikiwa vimetoa wagombea lakini ikiwa havina wagombea hawawezi kuweka mawakala wao.
Swali langu: Ni nani atakaehakikisha kula za HAPANA zinalindwa wakati wa kuhesabiwa ukizingatia hakuna mawakala wa vyama vingine?
Yuko sawa ni vituo vya kupigia kula kwa wale wanaoamini ndio wamiliki wa taifa hili.Ukisema vituo vya kupigia kula wengine watafikiri unazungumzia kwa mama ntilie mambo ya kupiga misosiš¤
Sure brošYuko sawa ni vituo vya kupigia kula kwa wale wanaoamini ndio wamiliki wa taifa hili.
Hapana mkuu ni makosa ya kuandishi tuhUkisema vituo vya kupigia kula wengine watafikiri unazungumzia kwa mama ntilie mambo ya kupiga misosiš¤