LGE2024 Nani analinda kura ya HAPANA kwa mgombea wa chama kimoja pekee?

LGE2024 Nani analinda kura ya HAPANA kwa mgombea wa chama kimoja pekee?

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Kila chama kinachoshirki, kitaweka wakala wake kwenye kila kituo. Kumbuka pia kila kijiji kuna wagombea wa halmashauri ya kijiji, ambao watapigiwa kura na kijiji kizima . Hivyo kulinda kura zao kwenye kila kituo ni muhimu.
Chama kitaweka wakala katika kijiji au mtaa ambao hawana mgombea?
 
Hivi kwanza walimu wanalipwa sh ngapi katika zoezi hili la uchaguzi? Maaana wakilipwa pungufu inaweza kupelekea kurubuniwa
 
Back
Top Bottom