LGE2024 Nani analinda kura ya HAPANA kwa mgombea wa chama kimoja pekee?

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
hiyo itategemea nani atahesabu hizo kura na nani atatangaza matokeo yake.!
Wasimamizi wa uchaguzi ngazi ya vituo ni watendaji kwahyo wao ndo wana jukumu la kuhesabu na kutangaza matokeo
 
Kila chama kinachoshirki, kitaweka wakala wake kwenye kila kituo. Kumbuka pia kila kijiji kuna wagombea wa halmashauri ya kijiji, ambao watapigiwa kura na kijiji kizima . Hivyo kulinda kura zao kwenye kila kituo ni muhimu.
Chama kitaweka wakala katika kijiji au mtaa ambao hawana mgombea?
 
Hivi kwanza walimu wanalipwa sh ngapi katika zoezi hili la uchaguzi? Maaana wakilipwa pungufu inaweza kupelekea kurubuniwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…