Nani anamashabiki wengi, Simba au Yanga?

Bertha Kakete

Member
Joined
Oct 7, 2023
Posts
7
Reaction score
15
IMG_0571.jpeg

Simba na Yanga ni timu kongwe zenye mashabiki na wafuasi wengi hapa nchini na hata nje ya nchi.

Kila timu hutamba kwa upande wake kuwa ni Bora kuliko timu nyingine.

Unadhani kwa sasa timu gani Ina mashabiki wengi?
 
Naomba kuuliza kabla sijatoa jibu, Hawa unao waita wafuasi ni wale Yanga au Simba dam_dam wanaoona hizo timu ni kama dini zao?
 
Hakuna Census Wala Takwimu RASMI za kuweza kupata idadi RASMI ya mashabiki kwasababu za uzembe na UPUMBAVU WA viongozi.

Tunaweza tutumia nadharia isiyo RASMI kama.

Kaangalie kwenye shindano la nani zaidi.

1. Mwaka 2022 kulikuwa na shindano la kuchangisha Fedha kwa njia ya Mitandao ya simu. (Nani zaidi) Simba alichangisha Fedha nyingi zaidi.
SIMBA AMEMPIGA BAO YANGA.

2. NENDA kwenye Mitandao ya kijamii Simba ana ongoza kwa kuwa na mashabiki(followers) wengi MNO.
SIMBA AMEMPIGA BAO YANGA

3. JARIBU kuangalia pia Simba Day na siku ya WANANCHI
Mashabiki WA Simba wanahaza zaidi uwanjani (HAIJALISHI kiingilio)
SIMBA AMEMPIGA BAO YANGA..

4. Kufuatilia na mashabiki wengi
Kujaza viwanja
SIMBA AMEMPIGA BAO YANGA.

5. Kama unaona kote huko mbali.
Ukifanya utafiti tu hapa hapa Jamii forum utagundua Simba Ina mashabiki wengi zaidi.
(Fuatilia Nyuzi Simba siku inapokuwa inacheza).

Karibu kwa mjadala
Karibu pia JF Bertha Kakete.
 
Tukiangalia gate collection Yanga kampiga bao simba by far miles.
Na hii ndo ina matter
 
Simba na Yanga ni timu kongwe zenye mashabiki na wafuasi wengi hapa nchini na hata nje ya nchi.

Kila timu hutamba kwa upande wake kuwa ni Bora kuliko timu nyingine.

Unadhani kwa sasa timu gani Ina mashabiki wengi?
Ndio maana Samia alisema watu wajifunze kwanza kuijua katiba ya 1977 kabla ya kuhitaji katiba mpya. Watz wengi akili zetu zipo kwenye vitu vyepesi sana.
 
Mashabiki, wengi kama si wote ni Yanga, kwakua ata iyo Simba imetoka ndani ya Yanga.

Governor wa kiingereza kupitia viongozi wake wa chini walitumia njia ya Divide and rule kwakua walitambua Yanga ni klabu ya michezo ambayo inajihusisha na harakati za kisiasa.

Viongozi wengi wa kilichokua chama cha Siasa cha wafanyakazi TAA baadae TANU walikua pia viongozi wa Yanga.
Walichofanya ni kuwarubuni baadhi ya wanachama wa Yanga.

Mwaka 1936 baadhi ya wachezaji na viongozi walijiondoa Yanga na kuunda timu iliyo jiita queens kwa ahadi ya kununuliwa viatu na vipesa kidogo kwa viongozi waliofanikisha usaliti.

Kwa kipindi cha nyuma queens, baadaye eagle, Sunderland mpaka Simba ilikua nitimu iliyo wahusisha zaidi Viongozi wa serikali ya kikoloni iliyo undwa na wazungu , wahindi waswahili wachache.

Kwa hali iyo bado Yanga ina wafuasi wengi zaidi kuliko timu yoyote apa Tanzania kwakua ata ao Simba ni Yanga.
Kwenye hesabu Yanga inakua ni Set wakati Simba, Pan, Red star izo ni sub set.
 
Umemaliza mkuu.
 
Hongera sana umeandika vizuri sana.

Sema Aya ya mwisho kabisa ndipo tutapopishana.

Ukitaka kupima Influence yako, USHAWISHI wako JARIBU kipost kitu kwenye mitandao ya kijamii uone reaction.
UKIONA wamekoment WATU watano ujue wewe Bado sana.

UKIONA WATU Hawa coment hawaku follow kwenye mitandao ya kijamii au Una followers WACHACHE we ujue hakuna kitu

Simba Ina WATU WENGI kuanzia mitandao ya kijamii nk.
 
Simba na Yanga ni timu kongwe zenye mashabiki na wafuasi wengi hapa nchini na hata nje ya nchi.

Kila timu hutamba kwa upande wake kuwa ni Bora kuliko timu nyingine.

Unadhani kwa sasa timu gani Ina mashabiki wengi?
Mbona jamaa alishamaluza siku nyingiii!!!!
 
Hongera sana umeandika vizuri sana.

Sema Aya ya mwisho kabisa ndipo tutapopishana.

Ukitaka kupima Influence yako, USHAWISHI wako JARIBU kipost kitu kwenye mitandao ya kijamii uone reaction.
UKIONA wamekoment WATU watano ujue wewe Bado sana.

UKIONA WATU Hawa coment hawaku follow kwenye mitandao ya kijamii au Una followers WACHACHE we ujue hakuna kitu

Simba Ina WATU WENGI kuanzia mitandao ya kijamii nk.
Vyovyote unavyo amini sawa ila ukweli ni kwamba ukiwa shabiki wa Simba ujue wewe ni Yanga.

Simba ina Vinasaba vya Yanga, kama ni Atom lazima kuwe na Protons, Neutrons na Nucleus.
Yanga ndio Neucleus/ Core yenyewe ya soka apa Nchini.
 
Simba na Yanga ni timu kongwe zenye mashabiki na wafuasi wengi hapa nchini na hata nje ya nchi.

Kila timu hutamba kwa upande wake kuwa ni Bora kuliko timu nyingine.

Unadhani kwa sasa timu gani Ina mashabiki wengi?
Acha kuilinganisha timu ya Wananchi Yanga na hiyo timu ya Wahindi wa Bombay.
 
Back
Top Bottom