Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hakuna kijana yeyote tanzania ambaye anaweza fanana na
Lemutuz
Lemutuz
jamaa ni shujaa ambaye hata story yake ya maisha naweza kuwa hadithia wanangu na nina hakika wataipenda
chukua maua yako Mkuu mungu akuweke mahali safi sana
Pinto aliongea vile kudai mali zake au kuelezea maisha ya marehemu?Binafsi sikupendezwa sababu ni kama kumvua nguo marehemu.Mimi nisimame kwenye msiba wa rafiki yangu nianze kusema "Ooh kuna wakati alikuwa hana hata sumni mimi ndio nikampatia"Hapana kwakweli
Ni sahihi kabisa ili yule mke akijirudisha kudai mali akute hana hata godoro
kuna watu hamjui le Mutuz vizuri wakisikia jina la malecela (waziri mkuu mstaafu) basi wanaamini jamaa alikuwa mboga saba.
kumbe uhalisia wa jambo hauko hivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naweka ukweli, Pinto alikuwa anasimulia
Kwan aliwaambia ana shida na mali?
🙆🏼♂️Kama umepanic vile pole
Moja ya kosa ulilofanya nikuvunja nyumba ya Baba yenu nakujenga kwenye kiwanja cha Baba yenu!!Sawa Kaka lkn ukweli ubaki kuwa mzee wake hukumuacha asote ,Le mwenyewe aliamuwa kuishi maisha aliyochagua ,,hawezi kufanana na Mimi niliyepambana kubomoa nyumba ya nyasi ya mzee wangu ili kumjengea yenye nafuu
Katika jambo ambalo naona haliko sawa hadi leo ni suala la Kuanza kutaja madeni ya marehemu msibani kama kuna mtu anamdai why asiifate familia kumtunzia heshima marehemu?
Kwenye msiba wa Lemutuz yule Pinto anasema nyumba aliyokuwa anaishi lemutuz ni yake hata Gari noah alimuazima sio ya Lemutuz[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Why tunawavua nguo marehemu?
Sio utamaduni mzuri nadhani hili inabdi lipitiwe upya na kurekebishwaa.
Binafsi kuna msiba fulani wa Ndugu yangu jamaa wa karibu sana ambae kiukweli alisimama hadharani kuanza kutaja kiasi anachomdai Marehemu toka siku ile nilimshusha sana vyeo na kuona hajitambui maana kama familia angetufata sidhani kama tungekataaa.
Lemutuz alikua kijana?hakuna kijana yeyote tanzania ambaye anaweza fanana na
Lemutuz
Lemutuz
jamaa ni shujaa ambaye hata story yake ya maisha naweza kuwa hadithia wanangu na nina hakika wataipenda
chukua maua yako Mkuu mungu akuweke mahali safi sana
Mbona unacheka kwenye msiba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona hajadai chochote zaidi ya kusema ukweli tu km alimuazima tu hivyo vitu.Yani haina faida yoyote sababu hata angewafata ndugu private sidhani kama wangekataa..
Utaratibu wa misiba yetu ni kwamba baada ya mazishi mhusika anatangaza siku ya kuvunja matanga na kuwasihi wote wanaomdai na kudaiwa na marehemu kuhudhuria siku hiyo ili mambo hayo yajadiliwe.Katika jambo ambalo naona haliko sawa hadi leo ni suala la Kuanza kutaja madeni ya marehemu msibani kama kuna mtu anamdai why asiifate familia kumtunzia heshima marehemu?
Kwenye msiba wa Lemutuz yule Pinto anasema nyumba aliyokuwa anaishi lemutuz ni yake hata Gari noah alimuazima sio ya Lemutuz[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Why tunawavua nguo marehemu?
Sio utamaduni mzuri nadhani hili inabdi lipitiwe upya na kurekebishwaa.
Binafsi kuna msiba fulani wa Ndugu yangu jamaa wa karibu sana ambae kiukweli alisimama hadharani kuanza kutaja kiasi anachomdai Marehemu toka siku ile nilimshusha sana vyeo na kuona hajitambui maana kama familia angetufata sidhani kama tungekataaa.
Inamaanisha nini hiyo njagu msela, siulizi kwa dhihaka nataka kujua kweli maana yake.Pia anatajwa kuwa ni Njagu msela ..
amesema vile kimkakati kesho familia isijeenda kwenye nyumba ile na kuchukua gariPinto hajaongelea chochote kuhusu madai, kazungumzia legacy ya marehemu anavyomjua na kasema ni miaka 13 iliyopita.
Ina maana ni kipindi kaondoka US kuja bongo.
Sasa pinto angetaka kumdai chochote wakati yuko hai angeshindwa nini?
Wala hajasema "nilipe noah yangu"
Seaview!! Tualikeni na sisi tuoshe macho aiseeAamina!
William alikuwa jirani yangu Seaview, ndio kwanza kashuka toka marekani! Lakini alikuwa hakai bure bila kujishuhulisha
Alikuwa ana omba laptop yangu ili aingie mtandaoni jf mimi wala sijui jf ni nini
Akipata appointment ya kazi ana niomba gari !
Akipata vipesa kidogo anatuma marekani! Yaani mimi namjua kihivyo alikataaa kata kuwa maskini!
Alipo hama ndio sijui alikwenda wapi sikuwa na bahati ya kumwona tena!
Lakini jamaa ni hustler wa hali ya juu sana!
May he rest in eternal peace walahi[emoji22]