Nani anamdai Marehemu Lemutuz?

Nani anamdai Marehemu Lemutuz?

hakuna kijana yeyote tanzania ambaye anaweza fanana na

Lemutuz​

Lemutuz​

jamaa ni shujaa ambaye hata story yake ya maisha naweza kuwa hadithia wanangu na nina hakika wataipenda

chukua maua yako Mkuu mungu akuweke mahali safi sana

Aamina!
William alikuwa jirani yangu Seaview, ndio kwanza kashuka toka marekani! Lakini alikuwa hakai bure bila kujishuhulisha
Alikuwa ana omba laptop yangu ili aingie mtandaoni jf mimi wala sijui jf ni nini
Akipata appointment ya kazi ana niomba gari !
Akipata vipesa kidogo anatuma marekani! Yaani mimi namjua kihivyo alikataaa kata kuwa maskini!
Alipo hama ndio sijui alikwenda wapi sikuwa na bahati ya kumwona tena!
Lakini jamaa ni hustler wa hali ya juu sana!
May he rest in eternal peace walahi[emoji22]
 
Pinto aliongea vile kudai mali zake au kuelezea maisha ya marehemu?Binafsi sikupendezwa sababu ni kama kumvua nguo marehemu.Mimi nisimame kwenye msiba wa rafiki yangu nianze kusema "Ooh kuna wakati alikuwa hana hata sumni mimi ndio nikampatia"Hapana kwakweli

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sawa Kaka lkn ukweli ubaki kuwa mzee wake hukumuacha asote ,Le mwenyewe aliamuwa kuishi maisha aliyochagua ,,hawezi kufanana na Mimi niliyepambana kubomoa nyumba ya nyasi ya mzee wangu ili kumjengea yenye nafuu
Moja ya kosa ulilofanya nikuvunja nyumba ya Baba yenu nakujenga kwenye kiwanja cha Baba yenu!!

Ulipaswa kujenga pembeni au kujenga sehemu nyingine kabisa, hii hapa kuna siku mtagombana na kaka/ dada/wadogo zako nakuanza kuambiana toa nyumba yako kwenye kiwanja cha Baba yetu, unless uwe mtoto pekee yako kwa wazazi wako!

Kwenye familia/ukoo kuna watu ni vichaa kabisa, niliwahi kutana na kesi ya namna hii, jamaa aliwasumbua sana wenzake
 
Katika jambo ambalo naona haliko sawa hadi leo ni suala la Kuanza kutaja madeni ya marehemu msibani kama kuna mtu anamdai why asiifate familia kumtunzia heshima marehemu?

Kwenye msiba wa Lemutuz yule Pinto anasema nyumba aliyokuwa anaishi lemutuz ni yake hata Gari noah alimuazima sio ya Lemutuz[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Why tunawavua nguo marehemu?

Sio utamaduni mzuri nadhani hili inabdi lipitiwe upya na kurekebishwaa.

Binafsi kuna msiba fulani wa Ndugu yangu jamaa wa karibu sana ambae kiukweli alisimama hadharani kuanza kutaja kiasi anachomdai Marehemu toka siku ile nilimshusha sana vyeo na kuona hajitambui maana kama familia angetufata sidhani kama tungekataaa.

Kwenye madai huwa inafanywa hadharani ndio maana nao wanatangaza hadharani.ukienda kimya kimya kuna baadhi ya ndugu wanakukataa mchana kweupe
 
Yani haina faida yoyote sababu hata angewafata ndugu private sidhani kama wangekataa..
Mbona hajadai chochote zaidi ya kusema ukweli tu km alimuazima tu hivyo vitu.
Ina maana familia wakiamua kumrudishia sawa wakikaa navyo famililai ila wajue siyo vyake.
Le mutuz alisema mwenyewe
alirudi na dola buku tu
na anaishi born town
kumbe alikua analelewa.
Kadai wapi?
 
Katika jambo ambalo naona haliko sawa hadi leo ni suala la Kuanza kutaja madeni ya marehemu msibani kama kuna mtu anamdai why asiifate familia kumtunzia heshima marehemu?

Kwenye msiba wa Lemutuz yule Pinto anasema nyumba aliyokuwa anaishi lemutuz ni yake hata Gari noah alimuazima sio ya Lemutuz[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Why tunawavua nguo marehemu?

Sio utamaduni mzuri nadhani hili inabdi lipitiwe upya na kurekebishwaa.

Binafsi kuna msiba fulani wa Ndugu yangu jamaa wa karibu sana ambae kiukweli alisimama hadharani kuanza kutaja kiasi anachomdai Marehemu toka siku ile nilimshusha sana vyeo na kuona hajitambui maana kama familia angetufata sidhani kama tungekataaa.
Utaratibu wa misiba yetu ni kwamba baada ya mazishi mhusika anatangaza siku ya kuvunja matanga na kuwasihi wote wanaomdai na kudaiwa na marehemu kuhudhuria siku hiyo ili mambo hayo yajadiliwe.
Kikao cha matanga huhudhuriwa na wanafamilia.
Kama Pinto alitaja madeni yake hadharani siku ya mazishi hilo ni kosa.
 
Pinto hajaongelea chochote kuhusu madai, kazungumzia legacy ya marehemu anavyomjua na kasema ni miaka 13 iliyopita.
Ina maana ni kipindi kaondoka US kuja bongo.
Sasa pinto angetaka kumdai chochote wakati yuko hai angeshindwa nini?
Wala hajasema "nilipe noah yangu"
 
amesema vile kimkakati kesho familia isijeenda kwenye nyumba ile na kuchukua gari
 
Aamina!
William alikuwa jirani yangu Seaview, ndio kwanza kashuka toka marekani! Lakini alikuwa hakai bure bila kujishuhulisha
Alikuwa ana omba laptop yangu ili aingie mtandaoni jf mimi wala sijui jf ni nini
Akipata appointment ya kazi ana niomba gari !
Akipata vipesa kidogo anatuma marekani! Yaani mimi namjua kihivyo alikataaa kata kuwa maskini!
Alipo hama ndio sijui alikwenda wapi sikuwa na bahati ya kumwona tena!
Lakini jamaa ni hustler wa hali ya juu sana!
May he rest in eternal peace walahi[emoji22]
Seaview!! Tualikeni na sisi tuoshe macho aisee
 
Back
Top Bottom