chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Mawakili 100, kwa walau shilingi million kumi kwa wakili, ni takribani bilioni moja. Mpina kazitoa wapi? Nani anamfadhili? Na kwa nini anasumbua viongozi na mambo yake, mpaka anawanyima muda wa kutekeleza ilani na kuhudumia wananchi?.
Yaani Mpina anachukia watanzania wakinunua sukari kwa bei rahisi, alitaka wanunue hata kwa elfu kumi? Huyu mzalendo kweli?
Kwa nini Mpina amechukia watanzania kununua sukari kwa bei rahisi? Kwa sababu anamiliki mashamba ya miwa huko Morogoro?
Hata suala la ngombe, alikuwa anataifisha ngombe za watu, baadae anazichukua yeye. Aka wa anazilisha kwenye hifadhi, zikakamatwa, sasa anajifichia kwenye majina ya wafugaji, kumbe anapigania ngombe zake alizokuwa anadhulumu wafugaji.
Mpina hufika mahakamani na mavazi yaliyoshonwa kama ya wanachadema. Wana kisesa wanaona jinsi mbunge wao anavyowatia aibu. CCM Shinyanga, mpira ukirudi kwa kipa, mnajua cha kufanya.