wapi huko sukari 2000Hata kama CCM na serikali wamekosea maadamu tunanunua sukari kwa 2000/-huku nanjilinji ...tunaunga mkono serikali na mpina afukuzwe ...
Kwasababu mwisho wa siku mwananchi wa kawaida nae ale matunda ya nchi yake..
Hiyo sukari ya 2300 inauzwa duka gani mkuu. Sijanywa chai mwaka sasa kisa bei ya sukari.Mawakili 100, kwa walau shilingi million kumi kwa wakili, ni takribani bilioni moja. Mpina kazitoa wapi? Nani anamfadhili? Na kwa nini anasumbua viongozi na mambo yake, mpaka anawanyima muda wa kutekeleza ilani na kuhudumia wananchi?.
Yaani Mpina anachukia watanzania wakinunua sukari kwa bei rahisi, alitaka wanunue hata kwa elfu kumi? Huyu mzalendo kweli?
Kwa nini Mpina amechukia watanzania kununua sukari kwa bei rahisi? Kwa sababu anamiliki mashamba ya miwa huko Morogoro?
Hata suala la ngombe, alikuwa anataifisha ngombe za watu, baadae anazichukua yeye. Aka wa anazilisha kwenye hifadhi, zikakamatwa, sasa anajifichia kwenye majina ya wafugaji, kumbe anapigania ngombe zake alizokuwa anadhulumu wafugaji.
Mpina hufika mahakamani na mavazi yaliyoshonwa kama ya wanachadema. Wana kisesa wanaona jinsi mbunge wao anavyowatia aibu. CCM Shinyanga, mpira ukirudi kwa kipa, mnajua cha kufanya.
Wewe ni laymanDah! Hii ni undercutting
Kwani mkuu ww unanunua sh ngapi?wapi huko sukari 2000
badala ujibu unacho ulizwa unaanza ruka rukaKwani mkuu ww unanunua sh ngapi?
Tunaoelewa maana ya "cartel" huwa hatupati shida kuelewa hayo.Mawakili 100, kwa walau shilingi million kumi kwa wakili, ni takribani bilioni moja. Mpina kazitoa wapi? Nani anamfadhili? Na kwa nini anasumbua viongozi na mambo yake, mpaka anawanyima muda wa kutekeleza ilani na kuhudumia wananchi?.
Yaani Mpina anachukia watanzania wakinunua sukari kwa bei rahisi, alitaka wanunue hata kwa elfu kumi? Huyu mzalendo kweli?
Kwa nini Mpina amechukia watanzania kununua sukari kwa bei rahisi? Kwa sababu anamiliki mashamba ya miwa huko Morogoro?
Hata suala la ngombe, alikuwa anataifisha ngombe za watu, baadae anazichukua yeye. Aka wa anazilisha kwenye hifadhi, zikakamatwa, sasa anajifichia kwenye majina ya wafugaji, kumbe anapigania ngombe zake alizokuwa anadhulumu wafugaji.
Mpina hufika mahakamani na mavazi yaliyoshonwa kama ya wanachadema. Wana kisesa wanaona jinsi mbunge wao anavyowatia aibu. CCM Shinyanga, mpira ukirudi kwa kipa, mnajua cha kufanya.
inatakiwa ishuke zaidiMawakili 100, kwa walau shilingi million kumi kwa wakili, ni takribani bilioni moja. Mpina kazitoa wapi? Nani anamfadhili? Na kwa nini anasumbua viongozi na mambo yake, mpaka anawanyima muda wa kutekeleza ilani na kuhudumia wananchi?.
Yaani Mpina anachukia watanzania wakinunua sukari kwa bei rahisi, alitaka wanunue hata kwa elfu kumi? Huyu mzalendo kweli?
Kwa nini Mpina amechukia watanzania kununua sukari kwa bei rahisi? Kwa sababu anamiliki mashamba ya miwa huko Morogoro?
Hata suala la ngombe, alikuwa anataifisha ngombe za watu, baadae anazichukua yeye. Aka wa anazilisha kwenye hifadhi, zikakamatwa, sasa anajifichia kwenye majina ya wafugaji, kumbe anapigania ngombe zake alizokuwa anadhulumu wafugaji.
Mpina hufika mahakamani na mavazi yaliyoshonwa kama ya wanachadema. Wana kisesa wanaona jinsi mbunge wao anavyowatia aibu. CCM Shinyanga, mpira ukirudi kwa kipa, mnajua cha kufanya.
Unaweza ukanibishia ... Ila ukweli ni kwamba ,Uwezo wa mtu wa kutoa Hoja, Huwa ni indicator ya Maendeleo ya akili yake .Mawakili 100, kwa walau shilingi million kumi kwa wakili, ni takribani bilioni moja. Mpina kazitoa wapi? Nani anamfadhili? Na kwa nini anasumbua viongozi na mambo yake, mpaka anawanyima muda wa kutekeleza ilani na kuhudumia wananchi?.
Yaani Mpina anachukia watanzania wakinunua sukari kwa bei rahisi, alitaka wanunue hata kwa elfu kumi? Huyu mzalendo kweli?
Kwa nini Mpina amechukia watanzania kununua sukari kwa bei rahisi? Kwa sababu anamiliki mashamba ya miwa huko Morogoro?
Hata suala la ngombe, alikuwa anataifisha ngombe za watu, baadae anazichukua yeye. Aka wa anazilisha kwenye hifadhi, zikakamatwa, sasa anajifichia kwenye majina ya wafugaji, kumbe anapigania ngombe zake alizokuwa anadhulumu wafugaji.
Mpina hufika mahakamani na mavazi yaliyoshonwa kama ya wanachadema. Wana kisesa wanaona jinsi mbunge wao anavyowatia aibu. CCM Shinyanga, mpira ukirudi kwa kipa, mnajua cha kufanya.
Mjinga maana yake nini, na inahusiana vipi na vyeti? Unaweza kusomea Finance, lakini ukawa hujui civil engineering, na kwa kuwa hujui civil engineering, wewe ni mjinga katika civil engineering.Unaweza ukanibishia ... Ila ukweli ni kwamba ,Uwezo wa mtu wa kutoa Hoja, Huwa ni indicator ya Maendeleo ya akili yake .
Wewe ni Mjinga, kama unabisha tuweke hapa Vyeti vyetu vya kitaaluma Mimi Nawewe kuanzia kidato Cha Nne mpaka chuo kikuu.
Well saidTunaoelewa maana ya "cartel" huwa hatupati shida kuelewa hayo.
Mradi serikali inawafahamu wote walio nyuma ya mpina, hatuna wasiwasi.
Naona na wewe unatumika kuitetea serkali hii iliyokosa mwelekeo...Mpina yuko sahihi %99.99Mawakili 100, kwa walau shilingi million kumi kwa wakili, ni takribani bilioni moja. Mpina kazitoa wapi? Nani anamfadhili? Na kwa nini anasumbua viongozi na mambo yake, mpaka anawanyima muda wa kutekeleza ilani na kuhudumia wananchi?.
Yaani Mpina anachukia watanzania wakinunua sukari kwa bei rahisi, alitaka wanunue hata kwa elfu kumi? Huyu mzalendo kweli?
Kwa nini Mpina amechukia watanzania kununua sukari kwa bei rahisi? Kwa sababu anamiliki mashamba ya miwa huko Morogoro?
Hata suala la ngombe, alikuwa anataifisha ngombe za watu, baadae anazichukua yeye. Aka wa anazilisha kwenye hifadhi, zikakamatwa, sasa anajifichia kwenye majina ya wafugaji, kumbe anapigania ngombe zake alizokuwa anadhulumu wafugaji.
Mpina hufika mahakamani na mavazi yaliyoshonwa kama ya wanachadema. Wana kisesa wanaona jinsi mbunge wao anavyowatia aibu. CCM Shinyanga, mpira ukirudi kwa kipa, mnajua cha kufanya.
Mpina ni tapeli na anatumika na majangili wa sekta ya sukari. Bahati nzuri Bashe amejiapiza kuyabomoaWauza Sukari na wanaosimamia sukari Tanzania wametengeza mazingira ya Sukari ionekane ni bidhaa adimu sana na bei yake iwe inapanda kila mwaka wanapoamua wakati Eswatin tu hapo wanachoma Sukari iliyopita muda wa matumizi ila Tanzania wanatengeneza mazingira mpaka viwanda vipo kwenye hii ishu ya kitapeli kwa Watanzania kama kweli Tanzania sukari ni tatizo waruhusu kila mtu alete kutoka Malawi au Zambia hicho kitu hakiwezekani kwa sababu ni biashara ya watu wachache sana Mpina ana hoja sema anaowapambania hawajitambui kabisa.