Nani anamiliki mradi wa nyumba 83 za kupanga Kunduchi Beach?

Nani anamiliki mradi wa nyumba 83 za kupanga Kunduchi Beach?

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Kuna mradi wa nyumba 83 unajengwa hapa Kunduchi beach, Je mmiliki ni nani?
 
Fanya yako! Ukijua mmiliki itakusaidia nini?! Akili za kimasikini hizo! Nenda Wizara ya Ardhi utajua mmiliki wa Plot hiyo.
 
picha ipo wapi?


haya mambo ni kama pelelezi za f.b.i tunajadili huku tunafungua mafile ya picha na nakala
 
Back
Top Bottom