Nani anamkumbuka James Dandu (Cool James)?

Au nayeye alikuwa anaabudu dini ya mashetani
 
Mi Kuna jamaa tumezaliwa wote 1990,, Yeye ana miaka 26 Mimi 31,nilipo muhoji kwanin hatupo sawa...hilo swala langu ila Yeye anajua ana 26 kazaliwa 1990
 
Mi Kuna jamaa tumezaliwa wote 1990,, Yeye ana miaka 26 Mimi 31,nilipo muhoji kwanin hatupo sawa...hilo swala langu ila Yeye anajua ana 26 kazaliwa 1990
Duh inashangaza mkuu
 
Cj massive....
"Hasira za nini wee bwana, wataka kuniua bure bwana. Yule si wako nami si wangu chukuli ya nini kati yangu mimi na wewe...sina makosaaa..."

Huyu sio Less Wanyika kweli mkuu ??
 
Jamaa alishaimba nyimbo na Koffii na Madilu System kitambo sana.
 
Ndio nani huyu mwamba?!
 
Stori kama izi ndo mtupigie sisi madogo zenu mana wengine wanajisahau wanajiita downtown kitambo wakati wamekuta celtel inaitwa airtel
Tigo ilikua Buzz [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tigo ilikua Buzz [emoji23][emoji23][emoji23]
Na kipind hicho vocha zilikua kuanzia 5000 mpaka 10000 zikiitwa dollar...hapo mtandao wa ttcl ndo ulikua umeweka call box nchi nzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…