Nani anamkumbuka James Dandu (Cool James)?

Nani anamkumbuka James Dandu (Cool James)?

Huyu mwam

Huyu mwamba alitaka kuleta mapinduzi makubwa kwenye bongofleva,alitoka ulaya akaja nchini kuwekeza,lengo ilikuwa kuwainua wengine,naweza kusema kwa ujuzi wa mziki,na kuwa na mkwanja mrefu,ndio Diamond wa kipindi kile 2000,
Tofauti kubwa iliyopo na kina Mond wa leo,ni kwamba Hawa wasasa wanapiga hela ndeefu,wanamafanikio makubwa,lakini hawana nia Wala hawataki kuuinua mziki na wasanii wengine,wasasa wanapiga one man show,wawe na hela,Dunia iwatambue,wakifa leo,hawaachi chochote
Au nayeye alikuwa anaabudu dini ya mashetani
 
Nachojiuliza enzi hizo huyu Elizabeth Michael tayari alishakuwa muigizaji ingawa alikuwa bado mdogok kidogo tulikuwa tunalingana umri. Ila nashangaa huyu Lulu yeye mpaka leo yupo under 25 nimeshampiga gap kubwa la age sasa sijui mwenzangu anakua kurudi nyuma
Mi Kuna jamaa tumezaliwa wote 1990,, Yeye ana miaka 26 Mimi 31,nilipo muhoji kwanin hatupo sawa...hilo swala langu ila Yeye anajua ana 26 kazaliwa 1990
 
Mi Kuna jamaa tumezaliwa wote 1990,, Yeye ana miaka 26 Mimi 31,nilipo muhoji kwanin hatupo sawa...hilo swala langu ila Yeye anajua ana 26 kazaliwa 1990
Duh inashangaza mkuu
 
Cj massive....
"Hasira za nini wee bwana, wataka kuniua bure bwana. Yule si wako nami si wangu chukuli ya nini kati yangu mimi na wewe...sina makosaaa..."

Huyu sio Less Wanyika kweli mkuu ??
 
Alitoa ngoma moja ilishika namba moja kwenye billboard kwa muda mrefu sana. Jamaa aliupeleka muziki wake kimataifa long time na ameomba na wasanii wakubwa muda mrefu sasa unakutana na hawa walamba midomo anasema ameupeleka muziki kimataifa unamuangalia unatamani kumkata makofi..
Jamaa alishaimba nyimbo na Koffii na Madilu System kitambo sana.
 
Nakumba miaka 90 tunaishi maeneo ya Sinza au utapenda kusema Sinza kwa Wajanja.

Kulikuwa na baa maarufu sana kama Vatican City, Sangara na n.k
Ila sehemu hizo miziki ya James Dandu uwezi kukosa kusikia imepigwa.

Kama kile kibao kilichotamba sina makosa akiwa ana rap.

James Dandu baada kuishi nje sana Uswidi (Stockholm) alikuja na mziki ambao kama mtapata vibao vyake vilikuwa vya kipekee sana.


Alifariki 27 Agosti 2002, Dar es Salaam.

Kitu kama ajari ya gari hivi. Miaka 19 nimemkumbuka baada ya pita pita Youtube kuona nyimbo zake.

Aliacha mke na watoto wawili
Ila mke wake sijui yupo wapi siku hizi.

Ndio nani huyu mwamba?!
 
Stori kama izi ndo mtupigie sisi madogo zenu mana wengine wanajisahau wanajiita downtown kitambo wakati wamekuta celtel inaitwa airtel
Tigo ilikua Buzz [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na kipind hicho vocha zilikua kuanzia 5000 mpaka 10000 zikiitwa dollar...hapo mtandao wa ttcl ndo ulikua umeweka call box nchi nzima
Daah! Ni kitambo..
20210620_111805.jpg
 
Back
Top Bottom