Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,263
- 18,201
Kweli mmemiss,
Yupo jikoni anapika vitu vikali, akitoka huko ni mwendo wa kuwanyoosha tu.
Yupo jikoni anapika vitu vikali, akitoka huko ni mwendo wa kuwanyoosha tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aje remix part fourKweli mmemiss,
Yupo jikoni anapika vitu vikali, akitoka huko ni mwendo wa kuwanyoosha tu.
yupo marekani eti[/QUO
yeye na nay wa mitego ni mwendo wa kuijaza dunia tu na wanawake tofauti tofautiSingle father wa kiwango cha hali ya juu! Atakuwa hatumii condoms huyu jamaa!
Si unajua yeye hatakag shobo kama hawa wanaotoa kila week halafu vnachacha?Kweli mmemiss,
Yupo jikoni anapika vitu vikali, akitoka huko ni mwendo wa kuwanyoosha tu.
mimi nilitaka kuupita nikijua labda ni uzi wa zamaniKichwa cha habari ndo kimenufurahisha eti nani anamkumbuka msanii Ali Kiba?[emoji23][emoji23][emoji23]watu Wana vituko
mimi nilitaka kuupita nikijua labda ni uzi wa zamani [emoji23][emoji23][emoji23]Kichwa cha habari ndo kimenufurahisha eti nani anamkumbuka msanii Ali Kiba?[emoji23][emoji23][emoji23]watu Wana vituko
Kondomu ya nn... Inachelewesha kumwaga wahabeshi, Massa mawili goli 1!?Single father wa kiwango cha hali ya juu! Atakuwa hatumii condoms huyu jamaa!
Aje remix part three imebuma anajiandaa na part fourSi unajua yeye hatakag shobo kama hawa wanaotoa kila week halafu vnachacha?
Hao kina Rihhana wenyewe wanatoa nyimbo mbili ndani ya mwezi mmoja sembuse Alikiba?![emoji30]Si unajua yeye hatakag shobo kama hawa wanaotoa kila week halafu vnachacha?
Kaenda kutoa video ya remix nyingine ya Aje
Kuna yule dada yake anaemchukia diamond yule wa marekani ambae anajifanya anapigania nchi atakuwa hajui alipo kweli?Katekwa na usalama wa taifa[emoji23] [emoji23] [emoji23]