Nani anamkumbuka msanii Ali Kiba?, Kwa sasa yupo wapi?

Si unajua yeye hatakag shobo kama hawa wanaotoa kila week halafu vnachacha?
Hao kina Rihhana wenyewe wanatoa nyimbo mbili ndani ya mwezi mmoja sembuse Alikiba?![emoji30]

Huko Nigeria kina Tekno kila mwezi wanaachia nyimbo,Davido anaachia nyimbo mbili siku moja
WIZKID Daddyo haijamaliza miezi miwili kashatoa na Drake!!halafuvwe unasemaje?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…