Nani anamkumbuka msanii Ali Kiba?, Kwa sasa yupo wapi?

Mnasema hamjamsikia muda mrefu wakat mnamwongelea sasa hivi???
 
Shilawadu At Work. Kuna Mtu Humu Alisema Aliyewaroga Waafrika Akatubu. Hata Km Ni Unazi Au Ushabiki Wa Mzk Umezd Du!
 
Hahahh aje rimix imechcha. Nasikia amepiga nyimbo Na chakachaka WA south Africa

USA anapiga raha na meneja wake so unajua meneja kawa demu siku hizi raha kwenda mbele
 
kiba yupo bongo bhana kila siku namuona anafanya mazoezi..!
 
Huyu demu Malaika kaamia US au alikuja kikazi by Kazi I mean kufanya show kwenye sebule za watu? Mwaka unaisha sasa bado yupo tu

Ila kazuri kanafaa kwa matumizi yule jamaa wa DMK atakua anafanya yake hapa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kashahamia huyo.alizinguana na sponsor wake wa bongo
 
yuko america anapiga show.
 
king ni king
 
Halafu Mombasa haendi tena maana yule shoga ake ana kashfa ya vyeti so hawezi kuwa gavana tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…