Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Avatar ya Nyani Ngabu jina jingine vp mna uhusiano au picha tu?Yeah nimekula ban bana.
Wale wanyama walee...walinisemea kwa mods.
Ila kama unavoona...nipo kama sipo...
Kimya kingi kina mshindo mkuuNguvu za Soda noma sanaa!!!!! hana kipya cha kubuni
Ni role model wangu,ntk nikiwa mkubwa niwe na watoto wengi kushinda yeye[emoji12]Single father wa kiwango cha hali ya juu! Atakuwa hatumii condoms huyu jamaa!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyu demu Malaika kaamia US au alikuja kikazi by Kazi I mean kufanya show kwenye sebule za watu? Mwaka unaisha sasa bado yupo tu
Ila kazuri kanafaa kwa matumizi yule jamaa wa DMK atakua anafanya yake hapa
yuko america anapiga show.Habari wakuu,
Ni kitambo sana msanii Ali Kiba hajasikika vinywani mwa watu, hajaonekana kwenye matukio yoyote na wala haandikwi kabisa na vyombo vya habari vya Tanzania, Afrika na hata dunia nzima.
Hata hapa JF nimejaribu kuangalia Jukwaa la ''Celebrities'' page ya KWANZA mpaka ya TANO hakuna mada inayomhusu moja kwa moja. Iliyopo kati ya Page hizo ni Kwanini Ali Kiba hataki bifu lake na Diamond liishe?.
Nilisikia ana show ulaya lakini sioni video wala picha mnato. Je, ni kwamba Show zimebuma mpaka anaogopa kuwaonesha mashabiki zake nini kinaendelea?
Mara ya mwisho katoa wimbo wa AJE na kaufanyia remix zaidi ya mbili, je ni kwamba kaishiwa utunzi?
[HASHTAG]#BringBackKingKiba[/HASHTAG]
king ni kingukimya wa Ali una stua, kwanza ana mwaka sasa hajatoa wimbo wowote mpya, ila mashabiki wake utakuta wana mwita king, king gani ana kuwa anatega hivi?, jamaa ni mvivu kiaina. mashabiki wengi wa AK wamejikuta wakishadadia heka heka za Harmorappa kwa sasa. Ali hawatendei haki watu wanao mkubali kwa kukaa kimya hivi
NB: sina timu
nakuona Msukule wa Madale.
Baada ya kuona pafyumu imebuma mnatafuta Kiki sasa ebooooo