Nani anamkumbuka msanii Ali Kiba?, Kwa sasa yupo wapi?

Huyu demu Malaika kaamia US au alikuja kikazi by Kazi I mean kufanya show kwenye sebule za watu? Mwaka unaisha sasa bado yupo tu

Ila kazuri kanafaa kwa matumizi yule jamaa wa DMK atakua anafanya yake hapa
Hivyo ndio vifupisho vya Majina yake.
 
Lazima muumie maana si kwa show anazozipiga! mwezi wa pili sasa anazunguka UK to USA mtaachaje kuumia? by the way wanunuzi wa chibu washafika 20? mpaka sasa?
Hivi kumbe ana show USA mm nikafikiri maisha club
 
Haha eti nani anamkumbuka msanii Alikiba hahah , ujue WaTz wakiamua kukutukana hawakuchagulii tusi.
Nimewamic wana jukwaa wenzangu wakongwe aiseee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…