mgogoone
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 2,900
- 2,099
Hivyo ndio vifupisho vya Majina yake.Huyu demu Malaika kaamia US au alikuja kikazi by Kazi I mean kufanya show kwenye sebule za watu? Mwaka unaisha sasa bado yupo tu
Ila kazuri kanafaa kwa matumizi yule jamaa wa DMK atakua anafanya yake hapa