Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Waziri kusimamisha watumishi kazi siyo ishara ya ufanisi bali ni ishara ya kushindwa kuwa mbunifu.
Mchengerwa anatoka wizarani kwenda kuwasimamisha kazi watumishi wakati huo wapo watumishi wanalipwa salary kwa ajili ya kusimamia miradi na matumizi ya fedha.
Wakuu wa Wilaya mbona wapo ofisini au kwa sababu wao ni Makada wa chama hakuna wakuwatumbua? Wakuu wa mikoa wanasubiri nini ofisini? Internal Audit office kwenye halmashauri zimeshindwa kufanya kazi?
Je hizi gharama Mchengerwa anazifanyia tathimini? Akiendelea na utaratibu huu kwa mwaka mmoja atakuwa amesababisha hasara kiasi gani kwa serikali? Je yeye atachunguzwa na nani kuhusu hasara aliyosababisha?
Najiuliza haya kwa sababu alipokuwa huko kwingine hakuwa na hii tabia ya tumbua tumbua; ameanza alipokabidhiwa watumishi. Kwanini hakuwa anatumbua akiwa hizo wizara nyingine? Kulikuwa hakuna Madudu?
Mawaziri wetu wawe wabunifu wafanye reform kwenye utumishi wa umma, waboreshe mazingira ya kazi; watengeneze mifumo yakuona wizi mapema siyo kusubiri imepita miaka. Ulaya hakunakutumbuana kwa sababu mifumo inafanya kazi.
Waziri kutumbua siyo kazi yako; umepewa wizara ufanye utafiti wa kitaalamu na kuweka mifumo yakudhibiti wizi na upotevu wa fedha.
Mnachofanya mawaziri nikutumia gharama kubwa kuzunguka ambazo hizo gharama mkizip3lkea kuimarisha mifumo hakutakuwepo na sababu ya ninyi kulipwa kuzunguka kutafuta 2akuwatumbua.
Waziri anatakiwa akiwa ofisini aone kila project kwenye eneo lake na apate reports zikiwa zimefanyiwa analysis siyo kutoka ofisini na Majungu kwenda mikoani.
Leo hakuna mahali Mhe. Mchengerwa ameweka wazi kwa watumishi wake nini malengo yake; dira yake ni ipi? Maono yake ni yapi?
Tunapokwenda Ulaya tujaribu kuiga japo mambo madogo madogo hasa umuhimu wa policy katika management zetu. Waziri anaweza akadhani anafanya kwafaidia kumbe analitia hasara Taifa.
Kwani waziri anashindwa nini kumpigia simu RC akamwambia maeneo yenye shida? Anashindwa nini kumjulisha mkurugenzi na kumpa alert? Utumbuaji always ni mfumo Wakuvizia watu wakosee...