Nani anamtuma Mchengerwa kazi ya kusimamisha watumishi kazi? Mbona huko wizara nyingine hakuwa anasimamisha watu kazi? Hizi tume zake anazilipaje?

Nani anamtuma Mchengerwa kazi ya kusimamisha watumishi kazi? Mbona huko wizara nyingine hakuwa anasimamisha watu kazi? Hizi tume zake anazilipaje?

Ifanyike kwa haki na sio kutafuta mileage/attention ya kisiasa.

Sasa kama wale jamaa wa kule mtukula Eti wanaambiwa wameonesha dharau,

Hivi kipimo cha dharau ni kipi Kwa mfano?
Unapimaje haki kama hujasimamisha watu uchunguzi ufanyike
 
Unapimaje haki kama hujasimamisha watu uchunguzi ufanyike

Sio kila scenario inahitaji uchunguzi rasmi,

Mengine ni kumhoji alokuletea hilo jungu ukiwa na ujuzi wa hufanya mahijiano simple utaweza kubaini ukweli.
Na Pia hata ule Upande wa pili uwape nafasi ya kuwasikiliza utajua ukweli.

Kuna tatizo la overreacting.
 
Ifanyike kwa haki na sio kutafuta mileage/attention ya kisiasa.

Sasa kama wale jamaa wa kule mtukula Eti wanaambiwa wameonesha dharau,

Hivi kipimo cha dharau ni kipi Kwa mfano?
kwani siyo kweli kuwa TRA wana dharau sana, tena sehemu nyingi tu siyo huko mpakani peke yake.
 
Watu wanaiba mnataka wachekeweee?? Kesho mnalalamika kodizenu hamuoni matokeo....
Unafananisha ulaya na bongo? Kimaadili tunaendana? Kiustaarabu tunaendana??
Mchengerwa apige kazi mwizi fukuza mbali wenyemidomo wapuuze!!
Mtu unaeza Kuta anashauuuriii kumbe amekimbia yafamilia yaani familia ikushinde uje kushauri yanchi??
 
Tuliza upelekewe moto tena kitanue ukuingie moto wa mkwe.
 
Hii inchi sijui inaendeshwaje. Kila taarifa kutoka serikalini huwa inanipa stress na hasira.
 
Acha kumsema mkwe wa mama. Ndombolo ya solo wewe...!
 
Waziri kusimamisha watumishi kazi siyo ishara ya ufanisi bali ni ishara ya kushindwa kuwa mbunifu.

Mchengerwa anatoka wizarani kwenda kuwasimamisha kazi watumishi wakati huo wapo watumishi wanalipwa salary kwa ajili ya kusimamia miradi na matumizi ya fedha.

Wakuu wa Wilaya mbona wapo ofisini au kwa sababu wao ni Makada wa chama hakuna wakuwatumbua? Wakuu wa mikoa wanasubiri nini ofisini? Internal Audit office kwenye halmashauri zimeshindwa kufanya kazi?

Je hizi gharama Mchengerwa anazifanyia tathimini? Akiendelea na utaratibu huu kwa mwaka mmoja atakuwa amesababisha hasara kiasi gani kwa serikali? Je yeye atachunguzwa na nani kuhusu hasara aliyosababisha?

Najiuliza haya kwa sababu alipokuwa huko kwingine hakuwa na hii tabia ya tumbua tumbua; ameanza alipokabidhiwa watumishi. Kwanini hakuwa anatumbua akiwa hizo wizara nyingine? Kulikuwa hakuna Madudu?

Mawaziri wetu wawe wabunifu wafanye reform kwenye utumishi wa umma, waboreshe mazingira ya kazi; watengeneze mifumo yakuona wizi mapema siyo kusubiri imepita miaka. Ulaya hakunakutumbuana kwa sababu mifumo inafanya kazi.

Waziri kutumbua siyo kazi yako; umepewa wizara ufanye utafiti wa kitaalamu na kuweka mifumo yakudhibiti wizi na upotevu wa fedha.

Mnachofanya mawaziri nikutumia gharama kubwa kuzunguka ambazo hizo gharama mkizip3lkea kuimarisha mifumo hakutakuwepo na sababu ya ninyi kulipwa kuzunguka kutafuta 2akuwatumbua.
Waziri anatakiwa akiwa ofisini aone kila project kwenye eneo lake na apate reports zikiwa zimefanyiwa analysis siyo kutoka ofisini na Majungu kwenda mikoani.

Leo hakuna mahali Mhe. Mchengerwa ameweka wazi kwa watumishi wake nini malengo yake; dira yake ni ipi? Maono yake ni yapi?

Tunapokwenda Ulaya tujaribu kuiga japo mambo madogo madogo hasa umuhimu wa policy katika management zetu. Waziri anaweza akadhani anafanya kwafaidia kumbe analitia hasara Taifa.

Kwani waziri anashindwa nini kumpigia simu RC akamwambia maeneo yenye shida? Anashindwa nini kumjulisha mkurugenzi na kumpa alert? Utumbuaji always ni mfumo Wakuvizia watu wakosee...

Kifua chake kinamlipa ..
 
Kwa Sasa watumishi wa tamisemi wakiwemo wakuu wa mkoa wanamheshimu na kumwogopa waziri wa tamisemi. Licha ya wote kupokea maelekezo kutoka Kwa mmoja, lakini mkwe akishauri anasikikiza.

Waziri mchengerwa wapelekee moto mpaka maji Waite mozooo
Kwakweli nami nikiwa kwenye nafasi ya kuwasimamia watumishi wa serekali, wengi nitawatimuwa.
 
kwani siyo kweli kuwa TRA wana dharau sana, tena sehemu nyingi tu siyo huko mpakani peke yake.

Mtu kujiona unadharauliwa ni inferiority complex ya mtu mwenyewe.

Hivi kipimo gani kinatumika kujua kuwa hapa mtu amenidharau?

Yaani mambo ya ajabu sana haya.

Kwa mtu ambae ni psychologically matured enough hawezi hata kuwaza kudharauliwa,

Labda ije kwa mtindo mwingine na sanasana utabaki kumpuuza huyo mwenye dharau sababu ya ufahamu wake kuwa finyu au kumshauri namna Bora ya kufaa.
 
Kuna mtu alikuwa anauliza mbona yale ya CAG hatua kimyaa?

Nazani ni Kigogo - 2014 if not mistaken.
 
Mtu kujiona unadharauliwa ni inferiority complex ya mtu mwenyewe.

Hivi kipimo gani kinatumika kujua kuwa hapa mtu amenidharau?

Yaani mambo ya ajabu sana haya.

Kwa mtu ambae ni psychologically matured enough hawezi hata kuwaza kudharauliwa,

Labda ije kwa mtindo mwingine na sanasana utabaki kumpuuza huyo mwenye dharau sababu ya ufahamu wake kuwa finyu au kumshauri namna Bora ya kufaa.
dharau ni dharau hakuna cha inferiority complex wala nini.

Unakwenda kwenye ofisi ya serikali kwa shida fulani ni kama vile umekwenda kumuomba mtu fedha na wala hakuangalii anajifanya yuko busy.

Labda kama wewe hujawahi kufikwa na janga kama hilo.
 
Sasa hapo ni wewe kujitambua na kujua jinsi ya ku-deal nae mpaka mwenyewe aseme [emoji119] bila kutumia nguvu nyingi,

Everything begins with you.
 
Kama hujui waziri wa TAMISEMI ndio waziri mwenye mamlaka ya moja kwa moja na serikali za mitaa kuliko hata waziri wa utumishi wa umma
 
Back
Top Bottom