Nani anamtuma Mchengerwa kazi ya kusimamisha watumishi kazi? Mbona huko wizara nyingine hakuwa anasimamisha watu kazi? Hizi tume zake anazilipaje?

Watumishi wengi wa serikali hasa Tamisemi hamjielew acha Chengerwa awepelekee moto
 
Hivi mfumo ni nini ?
 
Kwanini tuige Ulaya? Au kwa sababu wana pua ndefu?
 
Soma Sheria ya Utumishi wa Umma Namba 8 ya Mwaka 2002 na Kanuni zake za Mwaka 2003. Sheria hii ndiyo inayotoa
uwezo kwa Mamlaka mbalimbali za Ajira na Nidhamu katika Utumishi wa Umma na kuweka misingi ya namna masuala hayo yanavyopasa kushughulikiwa. Utekelezaji wa Sheria hii hufanyika pia kupitia Kanuni za Utumishi wa Umma za mwaka 2003; Taratibu za Uendeshaji katika Utumishi wa Umma za mwaka 2003; Taratibu Bora za Uendeshaji wa Masuala ya Ajira na Nidhamu katika Utumishi wa Umma, 2007; Kanuni za Kudumu katika Utumishi wa Umma za
mwaka 2009 na Miongozo mbalimbali iliyotolewa na Tume na Nyaraka mbalimbali za kiutumishi.

Mamalaka za nidhamu zimetajwa kama ifuatavyo:
1. Rais
2. Katibu Mkuu Kiongozi
3. Waziri mwenye dhamana ya Serikali za Mitaa
4. Mamlaka za Serikali za Mitaa
5. Wakuu wa Mashirika ya Umma (CEOs)
6. Wakuu wa Idara na Divisheni

Utagundua kuwa Mawaziri wengine wote hawajatajwa zaidi ya huyo wa Serikali za Mitaa. Pia utagundua kuwa huko kwingine ambako Mchengerwa alikopita hakuwahi kuwasimamisha kazi watumishi.
 
safi sana wacha awatimue TAMISEMI ni shamba la bibi....
 
Basi huyo ni Mtanzania halisi.
Ukimpekeka Zanzibar ni mzanzibar akija huku Tanganyika ni Mtanzania.

Aya ebu tumpeleke Awesso Zanzibar,ni Mtanganyika hana sifa wala nafasi,hawezi kumiliki ardhi,hawezi kupata hata kazi ya ukarani.
 
Ukimpekeka Zanzibar ni mzanzibar akija huku Tanganyika ni Mtanzania.

Aya ebu tumpeleke Awesso Zanzibar,ni Mtanganyika hana sifa wala nafasi,hawezi kumiliki ardhi,hawezi kupata hata kazi ya ukarani.
Na wewe ukienda Zanzibar kkuwa Mtanganyika, maana huko unaitwa "chogo".

Tatizo nini?
 
hata na mimi niliwaza hivyo, kila siku humu malalamiko kuhusu utendaji mbovu wa wafanyakazi, lakini wakichukuliwa hatua wanakuja humu kulalamika.
Hao wafanyakazi wengi huko Halmashauri ni tatizo na mchwa, wacha awapelekee moto....
 
Na wewe ukienda Zanzibar kkuwa Mtanganyika, maana huko unaitwa "chogo".

Tatizo nini?
Tatizo haki zangu za uraia zinapunguzwa kama si kuondoshwa kabisa.

Wazanzibari wakija huku Tanganyika wana haki zote za uraia ikiwemo kugombea nafasi yoyote.Wana haki za kumiliki ardhi hawabaguliwi hata kidogo.
 
Huko tamisemi bila amshaamsha watu wapo irresponsible Sana, unaenda ofsn kuomba kibali unaambiwa uje baada ya wik, account zinahela lakn miradi Imesmama,. Naunga mkono watimuliwe tu Kuna uzembe wa Hali ya juu Sana
 
Tatizo haki zangu za uraia zinapunguzwa kama si kuondoshwa kabisa.

Wazanzibari wakija huku Tanganyika wana haki zote za uraia ikiwemo kugombea nafasi yoyote.Wana haki za kumiliki ardhi hawabaguliwi hata kidogo.

Your browser is not able to display this video.
 



Naona wameanza kuziona rangi zake halisi sasa bila shaka?!
 
Wakiachwa mnalalama, wakisimamishwa mnalalama

Eihhhhshh



Ifanyike kwa haki na sio kutafuta mileage/attention ya kisiasa.

Sasa kama wale jamaa wa kule mtukula Eti wanaambiwa wameonesha dharau,

Hivi kipimo cha dharau ni kipi Kwa mfano?
 
Uchunguzi mpaka ukamilike tume iliyoundwa kuchunguza inaweza kulipwa 20m mpaka 30m tu lakini Kwa matokeo ya tume na ikibainika Kuna ubadhirifu serikali inakuwa imesevu hata 1b kiwango Cha chini kabisa.
 
Huyu si Mdengereko,huyu ni Mpemba kwasababu Baba yake ni Mpemba na Mama ndio Mdengereko.

Huyu akipelekwa Wizara yoyote lazima atangulize kwanza maslahi ya Wazanzibari.



Kumbee?! [emoji848]

Ndiyo maana alisema kila ajira ikifanyika Tanzania 21% watoke Zanzibar yeye population ya watu 2M tu ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…