minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
Wote si wanatoka Tanga usikute wamekula Dili ingawa dili lenyewe limebuma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wote si wanatoka Tanga usikute wamekula Dili ingawa dili lenyewe limebuma
sifikiri kama atakuwa Mtumishi wa idara kwa sababu mwana FA siyo mwadilifu na siyo mtu makini pia anavuta Bangi sana,Kama kitengo kinatoa ajira kwa mtu wa hovyo kama uyo si ndiyo kusema idara imejaa kina sheik yahaya.
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahaAtakuwa alitumwa na Polepole.
Hako kalimbuke FA kapo kwake hakaumwi chochote kamejifungia na kujirekodi kuleta taharuki za kishamba tu hakuna haja ya kuhangaika kupajua alipo kwaa sababu haumwi siyo mgonjwa huyo ni Mbinu za kuwahadaa watanzania kisha CCM wapate sababu za kuahirisha uchaguzi wa OctoberHata anapoulizwa kwenye mahojiano na waandishi anadai eti hairuhusiwi kutaja mahali ilipo hiyo Quaranteen, utajiuliza kwanini serikali izue hata hilo.
Alexander The Great
Minyoo umepinda kwelikweli. Yaani MwanaFA atumike kama kigezo cha kuahirisha uchaguzi ujao!!, umezoea kumsoma kigogo2014 na madhara yake ndio aina hii ya mawazo.Hako kalimbuke FA kapo kwake hakaumwi chochote kamejifungia na kujirekodi kuleta taharuki za kishamba tu hakuna haja ya kuhangaika kupajua alipo kwaa sababu haumwi siyo mgonjwa huyo ni Mbinu za kuwahadaa watanzania kisha CCM wapate sababu za kuahirisha uchaguzi wa October
Tee Bag,
Kama Ummy anahusika na mambo ya Mwinyi Juma basi hatuna waziri kwenye hii vita!
Huyu mwanafa ndio alipewaga ile Studio na Jk!
Mzee chokocho huanza Mdogo Mdogo tena kule usikotarajia kumbuka kule Tunisia kilichotekea baada ya mtu mmoja kufa, FA angebahatika kuipatia igizo ina maana wengi wangeigiza zaidi na zaidi ndipo CCM wangezifanyia kazi fikra mbaya za akina Le mutuz na cyprian Musiba wapotoshaji wa chama ambao sasa wapo busy kubuni vingi vya hovyo wapate kula pesa za CCM kienyejiMinyoo umepinda kwelikweli. Yaani MwanaFA atumike kama kigezo cha kuahirisha uchaguzi ujao!!, umezoea kumsoma kigogo2014 na madhara yake ndio aina hii ya mawazo.
Licha ya Ummy kuwa ndugu yake FA pia ni rafiki mkubwa wa Daud Bashite na kile kikundi cha Bashite Yaani akina Le mutuz kubwa jinga na Cyprian Musiba mubwekaji wa Taifa. Pata picha kuanzia hapo sasa utabaini nini kinaendelea
Ni mtumishi huyosifikiri kama atakuwa Mtumishi wa idara kwa sababu mwana FA siyo mwadilifu na siyo mtu makini pia anavuta Bangi sana,
Hata anapoulizwa kwenye mahojiano na waandishi anadai eti hairuhusiwi kutaja mahali ilipo hiyo Quaranteen, utajiuliza kwanini serikali izue hata hilo.
Alexander The Great
Tunisia, Morocco, Misri, Libya, wale ni waarabu wameshazoea kujitoa mhanga, washazoea kujilipua.Mzee chokocho huanza Mdogo Mdogo tena kule usikotarajia kumbuka kule Tunisia kilichotekea baada ya mtu mmoja kufa, FA angebahatika kuipatia igizo ina maana wengi wangeigiza zaidi na zaidi ndipo CCM wangezifanyia kazi fikra mbaya za akina Le mutuz na cyprian Musiba wapotoshaji wa chama ambao sasa wapo busy kubuni vingi vya hovyo wapate kula pesa za CCM kienyeji
Mwana FA haumwi Corona kaamua kuigiza tu ni kiki ya kishamba kaikosea kaja na Kiki pasipo kutafakari kuwa watanzania wa sasa wapo makini wanajua uigizaji wote
Alichokifanya Mtanga sio poaKwa sasa umakini na kukaa tayari kidharuladharula vinahitajika sana, COVID 19 sio siasa na inahitaji akili zilizo sawa kukabili hali na kitimtim kitakachokuja..
Wahusika ni wakati wa kupambana kujua watanzania hawa masikini wataishije kama kutakuwa na ulazima wa lock down, watanzania hawa tutawatibu vipi kama hali ikiwa mbaya, mbinu gani zitumike kujilinda sasa ili maambukiza na ugonjwa usiingie Tanzania..