Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bwaa sheikh wengine ugali wao uko huko kama wewe unavoenda kariakoo dailyBado nashangaa kwanini watu wanaendelea kusafiri nje ya nchi. Labda iwe sababu nzito kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilidhani, umemtafuta kambi zote ukamkosa, kumbe nawe umekurupuka tu baada ya kuona thread.Watanzania wenzangu kuna watu wameanza mzaha kwenye huu ugonjwa wa Corona.Serikali imetenga maeneo maalumu ya kuwapokea na kuwaweka waathirika wa Virusi vya Corona chini ya Uangalizi wa Madaktari.Najiuliza huyu Mwana FA yuko kambi gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani ili uupate unatakiwa ukae bondeni siku ngapi?Mwana fa bwana! Yani jumapili yupo kwenye shoo mlimani city then akatoka hapo akaenda bondeni fasta kuchukua Corona na sasa eti yupo karantini Tz. Yote hayo yamefanyika ndani ya siku TATU TU! Acheni akaite kaugonjwa maana hata alivyokakwaa ni kimaajabu maajabu sana tena haiwezekani katika hali ya kawaida.
Nimecheeeka mpaka mbavu zinauma, mkuu punguza maneno ya vichekesho
Nimeacha kwenda kariakooBwaa sheikh wengine ugali wao uko huko kama wewe unavoenda kariakoo daily
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku moja tu na dalili zote anazo, duuh hapa inafikirisha kwa kweliMwana fa bwana! Yani jumapili yupo kwenye shoo mlimani city then akatoka hapo akaenda bondeni fasta kuchukua Corona na sasa eti yupo karantini Tz. Yote hayo yamefanyika ndani ya siku TATU TU! Acheni akaite kaugonjwa maana hata alivyokakwaa ni kimaajabu maajabu sana tena haiwezekani katika hali ya kawaida.
Ili la Jumapili kuwa Bongo alafu kufika jumanne kaishaenda na kurudi bongo akiwa kapata na Corona pamoja na dalili kuonekana kabisa !!!!Mwana FA yupo sahihi kutoa ile video kwani amewatoa hofu Mashabiki wake na raia wa kawaida wenye hofu kubwa juu ya Corona.(Ni maoni yangu binafsi)
Hata mke wa Waziri mkuu wa Canada alipoumwa Corona alitoa taarifa, wasanii wakubwa na wanamichezo pia wametoa taarifa hata Waziri mkuu wa Spain pia hivyo hakuna tatizo hapo.
Stick kwenye Mada acha upunguaniUjuaji wa Kitanzania tayari, Haya anatumiwa na DAB mwambie Siro amkamate
Ndiyo maana tunasema recruitment ya idara hii nyeti ni mbovu, na haitakaa ifanye mapinduzi makubwa ya kijasusi na uchumi wa kidola kama walivyofanikiwa Mossad, MI6, CIA n.k
Sent using Jamii Forums mobile app
Watanzania wenzangu kuna watu wameanza mzaha kwenye huu ugonjwa wa Corona.Serikali imetenga maeneo maalumu ya kuwapokea na kuwaweka waathirika wa Virusi vya Corona chini ya Uangalizi wa Madaktari.Najiuliza huyu Mwana FA yuko kambi gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa kuna mchezo unachezwa. Mtu anaumwa hajawekwa Karantini. Sijui kuna lengo gani lakini bila shaka sio zuri
Hahahahahahahahamimi baada ya kuona alichopost jana nikaenda kujifungia chumbani nikasikiliza nyimbo zake za Bado nipo nipo, na alikufa kwa ngoma nikazifuta zote nikaona jamaa Afya yake ya Akili sio nzuri
Sent using Jamii Forums mobile app