Jamaa kuna sehemu anakwama.. juzi kati alikua na harmonize kwenye uzinduzi wa afroeast..
Sawa tuseme alipotoka tu ndio akapaa kwenda SA , alivyorudi akajisikia homa akaenda hospital akakutwa na Covid wakamruhusu aende hom kujirekodi??😂😂
Au pale inakuaje.. kwamba ukiende hosptali ukakutwa unaumwa COVID kama unajiskia vizuri wakakuruhusu urudi home kujiuguza mwenyewe??
Juzi nikimuona suspect wa corona mikoa flani ya nyanda za juu kusini.. yule jamaa alikua suspect tu ambaye baada ya muda waliconfirm kwamba hakuwa positive..lakini the way alivyokuwa treated ilikua as if ni time bomb linalolipuka muda wowote.. yaani alipewa ward ya peke yake kila kitu hosptali kilikua kinarevolve around yeye..
Sasa leo from no where mtu mmoja atest positive halafu wamuachie akajirekodi kwenye makochi ya ghetto lake... nitakuwa wa mwisho kuamini.