mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Kimbelembele tu huyu jamaaMaana ya FA ni F fala na A ni asiyejitambua, sasa anzia hapo ndipo utabaini Akili ndogo za huyo mwinyijuma toka Tanga
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kimbelembele tu huyu jamaaMaana ya FA ni F fala na A ni asiyejitambua, sasa anzia hapo ndipo utabaini Akili ndogo za huyo mwinyijuma toka Tanga
Tz hakuna corona virus. Hao wanaojitangaza ni katika kutafuta kiki tu.NANI ANAMTUMIA MWANA FA?
Na Thadei Ole Mushi
Mwana FA yupo Karantini au yupo nyumbani?
Wagonjwa wanaojulikana positive si wanawekwa Karantini chini ya uangalizi?
Mbona hajavaa Mask? Wanaomletea Chai, Chakula nk si atawaambukiza wote?
Je ni Nani anahusika kuvitangaza hivi visa? Ni wagonjwa wenyewe au Waziri? Naona Mwana FA na Meneja wa Diamond kashajitangaza wenyewe hata hivyo idadi ya walioambukizwa haikuongezeka au Hawa sio watanzania? Mbona Waziri haongezi idadi ya wagonjwa?
Anadai ametoka S.A juzi na video kaitoa Jana kwa maana hiyo juzi Ni jumanne ndio alirudi ila Jumapili alikuwa nchini kwa kuwa kwenye Uzinduzi wa albam ya Harmonize alikuwepo au tuseme aliondoka Jumapili na kurudi jumanne inawezekana ila angelituambi S.A alienda lini tungemwamini zaidi.
Kwa alichokipost baada ya hii video Ni kuwa malaria Ni hatari zaidi ya Corona kwa kuwa kapona. Kwa maneno haya tahadhari zote ambazo watu walikuwa wanazichukua wataacha kwa kuwa Ni ka ugonjwa kadogo na utapona tu kama yeye. Si tunajua huyu Ni celebrity hivyo vijana wengi watamuamini na kuacha kufuata kanuni za afya.
Nani anamtumia Mwana FA kupotosha jamii? Wizara ya Afya haioni upotoshaji huu wa wazi? Kwa Nini hawamkamati? Wanaomtumia kupotosha kwa nn wasimtumie kuwapa watu Elimu zaidi?
Serikali mbona haitoi tamko? Msanii mkubwa Kama huyu anasikilizwa na watu wengi je tufuate anayoyasema? Maswali Ni mengi kuliko majibu ila swali kuu linabakia Nani Anayemgumia na Kumtuma Mwana FA?
Tunavyozungumza hivi makamu wa pili wa Rais Burkinafaso ameshafariki kutokana na Corona. Mwana FA anatuambia hii ni vimafua tu?
Tuneona Ummy Mwalimu akimtakia kila la Kheri Mwana FA kuwa utavishinda tu hivi virusi mdogo wangu mbona Hao wengine sita wa awali hajawatakia salamu hii na Kheri hii? Nani anamtuma Mwana FA na Kwa malengo gani?
Ole Mushi
0712702602View attachment 1393727
Sent using Jamii Forums mobile app
NANI ANAMTUMIA MWANA FA?

Sasa atumiwe kupotosha jamii kwa manufaa ya nani? Na kama kweli anatumika, basi ni kwa lengo ambalo ni positive, ni kwa ajili ya kuwa-counter attack wale ambao wanajitokeza kwa ajli ya kupanikisha watu. Hao wanaotumika kutaka kuleta tafrani kwa kuwapanikisha watu, wakiwa wana message negative, wenyewe hujawaona, ila umemuona mwana FA tu. na ambaye tena ana ujumbe ulio pisitive?
Kila mtu ana uwezo wake wa kuchanganua jambo na kuamua kuliamini au kutoliamini..Sijaelewa kwanini watanzania wamekuwa wagumu kumuamini Mwana FA kwamba ana maambukizi ya Corona aliyoyapata Afrika kusini.
Mbona Aurlus Mabere hatunaye kwa sababu ya Corona?
Mbona Mano Dibango naye amepata maambukizi ya Corona!
Hata mimi awali sikuamini lakini baada ya kufuatilia mambo yanayoendelea Afrika kwa sasa ambapo kuna vifo zaidi ya 16 vya Corona sitabisha tena mtu akisema ana maambukizi maana watu wameanza " kuvuta" pamoja na joto lote mfano kule Misri!
Niishie hapo!
kwakweli huyu binti anafurahisha sana!.Kila mtu ana uwezo wake wa kuchanganua jambo na kuamua kuliamini au kutoliamini..
Sasa unataka kila unaloliamini wewe ndio kila mtu aliamini..?
Wee Mama vipi wewe..!?
Mtambo wa umbea kaziniSijaelewa kwanini watanzania wamekuwa wagumu kumuamini Mwana FA kwamba ana maambukizi ya Corona aliyoyapata Afrika kusini.
Mbona Aurlus Mabere hatunaye kwa sababu ya Corona?
Mbona Mano Dibango naye amepata maambukizi ya Corona!
Hata mimi awali sikuamini lakini baada ya kufuatilia mambo yanayoendelea Afrika kwa sasa ambapo kuna vifo zaidi ya 16 vya Corona sitabisha tena mtu akisema ana maambukizi maana watu wameanza " kuvuta" pamoja na joto lote mfano kule Misri!
Niishie hapo!
alisafiri kesho yake baada ya kumaliza showKwa Salam nimeamini ila kwa Mwana F.A. nadhani anatumika.Kwa sababu kwenye show ya Harmonize alikuwepo sasa hiyo south kaenda lini?
Sent using Jamii Forums mobile app