kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,695
- 20,633
Kama kitengo kinatoa ajira kwa mtu wa hovyo kama uyo si ndiyo kusema idara imejaa kina sheik yahaya.MwanaFA ni kipepeo wa kitengo, msisahau hilo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kitengo kinatoa ajira kwa mtu wa hovyo kama uyo si ndiyo kusema idara imejaa kina sheik yahaya.MwanaFA ni kipepeo wa kitengo, msisahau hilo.
Ummy ni dada ake au?Hilo ni swala la kifamilia,analinda kibarua cha dada yake wa Mikanjuni barabara ya 12 asijetumbuliwa.
Upo sawa mkuu, waziri mwenye dhamana atoe maelekezo na namna kutoa taarifa.Japo binafsi sioni kama Corona ni tishio kivile kwetu blacks.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huko ss mm sipo usinichonganishe na jamhuri kabisaaa,mm naongeza kuhusu yule shoga yake Maua Sama naye inavyosemekana ana Corona, ww unaleta habari za dada Ummy ndio nani huyo?
Hayo malaria tumeyazoea ujinga kufa kwa ugonjwa wa kichina "Chinese Disease"wakati product nyingi za China ni fake include Corona.Mi nilisema tangia mwanzo , ni mpuuzi na mwehu Tu anayeweza kuogopa Corona , Corona ni psychological deal ya watu tuu , Tangu December up to date ugonjwa unaoitwa Corona umeua watu 7000 worldwide, wakat huo Kwa mwezi wa pili pekee malaria imeua watu 80000+ na huku watoto 3000 below 5 wakiperish away per day....
Uzuri Wana siasa wanajua vyema huu ni mchezo tuu na ndo mana hawafungi vyanzo vikuu vya mapato kisa Corona na hii chance watawala wataitumia effectively Kwanza wanaomba iendelee ili wajihalarishie kuendelea kubaki madarakani bila sanduku la kura
Unatizama vyombo vya habari vya Kolomije!??Nadhani baada ya hii wiki Corona inaweza kuwa sio ishu tena.
Maana hata vyombo vya habari vya kimagharibi vimeaanza kupotezea kwa mbaali
Busara zimekujaa siku hizi, hongera mkuu.Tee Bag,
Kama Ummy anahusika na mambo ya Mwinyi Juma basi hatuna waziri kwenye hii vita!
Huyu mwanafa ndio alipewaga ile Studio na Jk!
Hivi mnaandika wenyewe au mnaandikiwa!??Mi nilisema tangia mwanzo , ni mpuuzi na mwehu Tu anayeweza kuogopa Corona , Corona ni psychological deal ya watu tuu , Tangu December up to date ugonjwa unaoitwa Corona umeua watu 7000 worldwide, wakat huo Kwa mwezi wa pili pekee malaria imeua watu 80000+ na huku watoto 3000 below 5 wakiperish away per day....
Uzuri Wana siasa wanajua vyema huu ni mchezo tuu na ndo mana hawafungi vyanzo vikuu vya mapato kisa Corona na hii chance watawala wataitumia effectively Kwanza wanaomba iendelee ili wajihalarishie kuendelea kubaki madarakani bila sanduku la kura
Facts.Japo ugonjwa nasikia unapukutisha wazungu ila sijui kwann mm sina hofu nao kabisa, kila nikisoma hizo dalili zake nahic kuna watanzania wengi walishakuwa nazo na wakapona na maisha yakaendelea
Sent using Jamii Forums mobile app