Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeye kama yeye anaona malaria ni hatari kuliko Corona kitu ambacho arguably yupo correct..., suala la mtu kumsikiliza msanii wa muziki kwenye mambo ya afya yako badala ya madaktari hayo yatakuwa matatizo yako binafsi kuokota okota taarifa.., ingawa unaweza kusema ana-responsibility ya kupima anachokiongea.., lakini kuanza kumpangia mtu cha kuongea deep down tunamyima haki yake.., mtu mwenyewe ndio ana responsibility ya kupima anachoambiwa...Kwa alichokipost baada ya hii video Ni kuwa malaria Ni hatari zaidi ya Corona kwa kuwa kapona. Kwa maneno haya tahadhari zote ambazo watu walikuwa wanazichukua wataacha kwa kuwa Ni ka ugonjwa kadogo na utapona tu kama yeye. Si tunajua huyu Ni celebrity hivyo vijana wengi watamuamini na kuacha kufuata kanuni za afya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Maigizo haya ya Mwana FA, F-fala A-asiyejitambua ni maigizo ya kishamba kienyeji inaelekea hukutafakari kabla ya kuigiza kutokana na kuishi kimazoea kwa kuwadharau watanzania kuwa ni wajinga hawataweza kukataa ufala wake, sasa tumepata tafasiri sahii ya neno FA yaa F ni fala na A ni asiyejitambua.Mkuu ongezea hii kama karudi jumanne kajiweka karantini mwenyewe na kashapona muda wowote anaweza kuruhusiwa siku 14 zimepita? Mbona nchi yetu ina maigizo sana kwenye hatari?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama huyu mleta mada Thadei Ole Mushi katoa boko.Tuache ujuaji wazee... Kuwa great thinker sio kitu rahisi wengi naona wanatoa maboko kwa kujifanya wanajua sana kufikiria nje ya box
Maana ya FA ni F fala na A ni asiyejitambua, sasa anzia hapo ndipo utabaini Akili ndogo za huyo mwinyijuma toka TangaKimaadili taarifa za mgonjwa ni siri ila mgonjwa ana ruhusiwa kujitangaza mwenyewe serikali itaishia kutaja tu umri na mahali alipotokea na mahali alipo ukitumia akili nyingi sana kwenye vitu vidogo kutoa boko ni lazima kwa mfano 1+1=2 ila much knows ni lazima watumie ma maakili makubwa na wapate 11 au 1√1 nk
FA maana yake ni fala asiyejitambua wakati anaigiza sinema hakutambua kuwa watanzania wana Akili kuliko yeye, alijua yeyea ni mjanja kumbe ni mshamba, kupitia JF anavyo vya kujifunza zaidi'Umesema nani anampelekea CHAKULA " kwani wagonjwa wa Corona hawali chakula?
Itakua sio issue kama hakutakua na maambukizi mapya, tatizo lipo zaidi kwenye kusambaa kwa ugonjwaNadhani baada ya hii wiki Corona inaweza kuwa sio ishu tena.
Maana hata vyombo vya habari vya kimagharibi vimeaanza kupotezea kwa mbaali
Mwana FA haumwi Corona kaamua kuigiza tu ni kiki ya kishamba kaikosea kaja na Kiki pasipo kutafakari kuwa watanzania wa sasa wapo makini wanajua uigizaji woteKama huyu mleta mada Thadei Ole Mushi katoa boko.
Hajajiongeza kujua sheria za taarifa za mgonjwa huwekwa hadharani na mgonjwa mwenyewe.
Wametajwa watu wawili wanaume, umri, nchi walizotembelea zinafanana na taarifa za Sallam na za Mwana FA.
Kurusha vitu mitandaoni sio lazima kuwe na kundi la waandishi wa habari au wahudumu.
Quarantine (kizuizi cha uangalizi) inaweza kuwa self isolation nyumbani kwako kama hali yako sio mbaya ya kuhitaji uangalizi mkubwa wa watabibu na wauguzi.
Watanzania ujuaji mwingi mbele giza, nami nimo humo humo miongoni mwa watanzania sikwepi dongo hili.
Corona ulaya Italy German bado vyombo vya habari vimekomaa kila Dakika vinatangaza sana kupita maelezoNadhani baada ya hii wiki Corona inaweza kuwa sio ishu tena.
Maana hata vyombo vya habari vya kimagharibi vimeaanza kupotezea kwa mbaali
Yeye mwenyewe amepost anaumwa, na taarifa zinaendana na za serikali sasa wewe sijui mtu kutoka wapi unakuja hapa kutuambia haumwi bila fact yoyote... Tukikuita mwehu tutakuwa tunakosea?Mwana FA haumwi Corona kaamua kuigiza tu ni kiki ya kishamba kaikosea kaja na Kiki pasipo kutafakari kuwa watanzania wa sasa wapo makini wanajua uigizaji wote
Hawa ndio wabongo sasa, kumbe shida yako ww na FA iko pale alipopata zile pesa... Mtaacha lini chuki zisizo na sababu?Mwana FA tokea aokote zile mamilon ya tigo alijiona kama ana Akili kumbe bado ni mshamba sana ni aina ya msanii limbukeni mkubwa
Duh!!FA maana yake ni fala asiyejitambua wakati anaigiza sinema hakutambua kuwa watanzania wana Akili kuliko yeye, alijua yeyea ni mjanja kumbe ni mshamba, kupitia JF anavyo vya kujifunza zaidi
Eti ni kazee ka kitengo dah! bongo bhanaHako kweli huenda kametumwa na akina cyprian Musiba na Le mutuz tuendelee kukachunguza vizuri kwani nasikia huwa ni kavuta Bangi kazuri
mimi baada ya kuona alichopost jana nikaenda kujifungia chumbani nikasikiliza nyimbo zake za Bado nipo nipo, na alikufa kwa ngoma nikazifuta zote nikaona jamaa Afya yake ya Akili sio nzuriKiki yake ni ya kishamba sana kasahau kuwa bado ni mshamba sana na watanzania wa sasa wameamka wanajua kuliko yeye hata magufuli mwenyewe alikiri kuwa watanzania siyo wajinga