minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
Mwana FA kaja kishamba kiki yake ni ya kienyeji Tatizo lake hakusoma upepo ajue kuwa watanzania wa sasa siyo mafala wana Akili kuliko yeye ajifunze kupitia hapaSasa atumiwe kupotosha jamii kwa manufaa ya nani? Na kama kweli anatumika, basi ni kwa lengo ambalo ni positive, ni kwa ajili ya kuwa-counter attack wale ambao wanajitokeza kwa ajli ya kupanikisha watu. Hao wanaotumika kutaka kuleta tafrani kwa kuwapanikisha watu, wakiwa wana message negative, wenyewe hujawaona, ila umemuona mwana FA tu. na ambaye tena ana ujumbe ulio pisitive?