Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maoni yako binafsi ni haramu ni maoni mabaya sana hayafai kusikilizwa na yeyote mwenye Akili timamu lakini mjinga atakubaliana na wewe kama ulivyokubaliana na mwana FA kienyeji pasipo kutafakari Athari za kuwafanya watanzania wasiogope juu ya janga la coronaMwana FA yupo sahihi kutoa ile video kwani amewatoa hofu Mashabiki wake na raia wa kawaida wenye hofu kubwa juu ya Corona.(Ni maoni yangu binafsi)
Hata mke wa Waziri mkuu wa Canada alipoumwa Corona alitoa taarifa, wasanii wakubwa na wanamichezo pia wametoa taarifa hata Waziri mkuu wa Spain pia hivyo hakuna tatizo hapo.
Hako kweli huenda kametumwa na akina Cyprian Musiba na Le Mutuz tuendelee kukachunguza vizuri kwani nasikia huwa ni kavuta Bangi kazuri
Je? ni sahihi kwa mwana FA kuchukulia poa ugonjwa wa corona? tukomae na mwana FA kwanzaFake News!Trump mwenyew kakimbia mkutano wa G7 anaogopa Corona.
Chanjo za Corona bado zipo kwny tafiti mpk mwezi April .
Kiki yake ni ya kishamba sana kasahau kuwa bado ni mshamba sana na watanzania wa sasa wameamka wanajua kuliko yeye hata magufuli mwenyewe alikiri kuwa watanzania siyo wajinga
Corona ni ndugu wa Ebola na kipindupindu zaidi hayo maralia yaweke pembeni
Wapo watu wanamtetea mwana FA kisa ni rafiki yao lakini hawajui thamani ya kuwakumbusha watu kunawa mikono mara kwa mara na kuepuka misongamano itasaidia kuepuka magonjwa mengi ikiwemo TB ambayo imekuwa ikiwaua watanzania wengi pasipo takwimu zake kupunguaUsipoteze muda wako kujadili hao wapuuzi maana wanavyomeza Arv mbon a hawatuoneshi kwenye video
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiona mwanaume jina lake linaelekea kufanana na Mwajuma ujue tabia zake ni kike.
Yafaa msisitizo wa kunawa mikono uwe ni wa kudumu isiwe kampeni ya mda mfupi tena kwani kutopena mikono kutawaepusha watanzania na magonjwa mengi likiwemo gonjwa la kansa na magonjwa mengiWasanii wa bongo na watangazaji wengi ni vilaza,juzi kuna mtangazaji alikuwa anatangaza kwamba Chloroquine inatibu Corona sijuhi tunaelekea wapi??
Nimeanza ona watu washaanza kuamini,wamepotezea kunawa mikono na kujikinga.
Hahahahahaha.....Mwanakombo
Wapo watu wanamtetea mwana FA kisa ni rafiki yao lakini hawajui thamani ya kuwakumbusha watu kunawa mikono mara kwa mara na kuepuka misongamano itasaidia kuepuka magonjwa mengi ikiwemo TB ambayo imekuwa ikiwaua watanzania wengi pasipo takwimu zake kupungua