Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 11,129
- 7,321
Kwenye kilugha chetu huwa tuma msemo mmoja unaoosema hivi: CHIZI HUWA HATOI TAHADHARI YA VITA INAYOKUJA, kwa maana kuwa akipita chizi anasema kuwa Kule Kibaha sasa hivi hali ni tete tuchukueni tahadhari, na kwa bahati nzuri au mbaya taarifa za chizi huyo zikawa ni za kweli, NOBODY WILL LISTEN, kwa sababu watu wanajua kuwa ni chizi. Mpaka pale watu watakaposhuhudia madhara yakiwa tayari yameshawafika, ndiyo watakapoanza ku-recall kwamba kumbe yule chizi taarifa zake zilikuwa ni za kweli!Unapotumia uongo ku-put your point across wewe ni fraud tu!
Haijalishi motive or anything behind it!
Ishu ni kua huyu Mwajuma na kilaza mwenzie Mwalimu wa Zamu wanafanya Kaole kabisa of which made them look pathetic and silly kwenye issue serious kama hii
Ya nini maigizo,?
For what hasa?Wananchi sio watoto
This made the whole thing seem pathetic kabisa!
Mwan FA kama alikuwa kweli ametumwa na watu kutoa taarifa hizo, basi nachelea kusema kuwa waliokuwa wamemtuma wana akili ndefu kuzidi akili ya asilimia 90 ya watanzania wote, wewe mweneyewe ukiwa mmoja wao. Si kila hoax unayoisikia kwenye media imetokana na fikra za akili ndogo ila kwa haraka haraka, hoax zote huwa zinaonekana kama ni ubunifu wa watu machizi chizi hivi, NOT ALWAYS rafiki yangu