Nani anamuelewa Pastor Tony Kapola?

Tusiwalaum sana watawala waliochoma biblia na quran.
Ni kati ya vitabu hatarishi kwa ustawi wa mwanadam..*

He Who Controls the Narrative Controls the People​

Hasa Biblia mana iko vague sana, mpenda mema ana pa kupita na mpenda mabaya ana njia ya lami pia.
Nyakati zitafuta hivi vitabu na kuipa nafs fikra huru ijitafute kwa mustakabari wake na mazingira yake.
Hata huku kuyumba kwa roman catholic ni mwanzo wa mwisho wake na falsafa za kufikirika kuruhusu imani za kimazingira kurudi juu.
...ujinga ni kuamini huku akili umezifungia ndan
...kizaz cha miujiza hakiko salama.
 
Umeongea Point
 
Naona amehamia dar. Na anampango wa kuujenga kanisa.
Kanisa lake la pale morogoro kisonga anamuachia nani?

Ndo uone maokoto ni jambo la muhimu kuliko neno au roho wa Mungu kwa wachungaji wa sasa
 
Mbona juzi Nabii Angel alipokuwa Tanzania alimwita my son. Halafu Tony akawa anampigia magoti arudi bongo.
Yah mwanae ndie na huduma ya tony kwa sasa iko chini ya nabii urbet angel ndo maana ameanza kujiita Osborn
 
Unawajua ma pastors wenyewe au unaropoka ili umuelewa pastor inabidi uwe na maneno machache rohoni ila kama uko vizuri rohoni hauwezi kumuelewa huyu.
 
Kwa kufanya money laundering si ndiyo?
 
Nchi hii ina wajnga wengi sana

Ova
 
Amechagua niche yake huna na Kinge huwezi kukwepa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…