Lububi
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 2,158
- 3,808
Tusiwalaum sana watawala waliochoma biblia na quran.
Ni kati ya vitabu hatarishi kwa ustawi wa mwanadam..*
Nyakati zitafuta hivi vitabu na kuipa nafs fikra huru ijitafute kwa mustakabari wake na mazingira yake.
Hata huku kuyumba kwa roman catholic ni mwanzo wa mwisho wake na falsafa za kufikirika kuruhusu imani za kimazingira kurudi juu.
...ujinga ni kuamini huku akili umezifungia ndan
...kizaz cha miujiza hakiko salama.
Ni kati ya vitabu hatarishi kwa ustawi wa mwanadam..*
He Who Controls the Narrative Controls the People
Hasa Biblia mana iko vague sana, mpenda mema ana pa kupita na mpenda mabaya ana njia ya lami pia.Nyakati zitafuta hivi vitabu na kuipa nafs fikra huru ijitafute kwa mustakabari wake na mazingira yake.