dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Ktik moja ya mahubiri yake alipata kusema ili mtu kuwa na pesa au tajiri inampas mtu kuwa na roho mbaya zaidi na kuwa fedhuliNani anamfahamu vizuri pastor Tony kapola.
Kanisa lake liko wapi ?
Nilisikia liko morogoro kutwa yupo Dar,dodoma
Kwanini waumini wake na mke wanavaa nguo za ovyo ?
Inakuaje ameungana na hawa manabii wa uongo matapeli wa zimbabwe ?
Naona kma Ana kitu Cha kuwaambia wtz