Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Nguo za ovyo zipoje mkuu?Kwanini waumini wake na mke wanavaa nguo za ovyo ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nguo za ovyo zipoje mkuu?Kwanini waumini wake na mke wanavaa nguo za ovyo ?
Unamtaka?Huy
Huyu ni nani jamani?ndio huyo mchungaji?
Hapa ndio tunapokutana na mstari huuHalafu serikali ipo inamwangalia mtu kama huyu? Siku akiua watu ndiyo wanashtuka! Huyu ni mgonjwa wa akili na mahojiano yake na Millard Ayo wakati alipokwenda mbinguni ni uthibitisho tosha!
View attachment 2680258
Hapana,nataka kujua kaingiaje kwenye Uzi wa mchungaji?ni nani?Unamtaka?
What is knowledge?Hapa ndio tunapokutana na mstari huu
Hosea 4:6
Watu wangu wanaangamizwa Kwa kukosa maarifa,Kwa kuwa wewe umeyakataa maarifa ,Mimi nami nitakukataa wewe usiwe kuhani kwangu mimi,Kwa kuwa umeacha kujali sheria ya Mungu wako Mimi nami sitawajali watoto wako.
Where are their parents jamani?
Wewe unamuonaje, kafanana na apostle Tony?Hapana,nataka kujua kaingiaje kwenye Uzi wa mchungaji?ni nani?
Huyu ni mhuni tu,nilishawahi kumsikiliza nikaona nae kakamata fursa tu .Motivational speaker huyu.Hana utumishi wowote.Kaamua kujiajiri kupitia dini.Nani anamfahamu vizuri pastor Tony kapola.
Kanisa lake liko wapi ?
Nilisikia liko morogoro kutwa yupo Dar,dodoma
Kwanini waumini wake na mke wanavaa nguo za ovyo ?
Inakuaje ameungana na hawa manabii wa uongo matapeli wa zimbabwe ?
Eubert Angel,tapeli wa Zimbabwe na yule mwenzake Bushiri.Anaitwa Antony Kapola
Ana Masters ya Cyber security
Mkewe ana PhD.
Ana kanisa lake Morogoro ndiyo. Ila ana semina karibia Mikoa mingi. Kote huko ulipopataja. Halazimiki kubaki hapo Morogoro
Kanisa lake lipo chini ya Ministry ya Eubert Angel, huyo nabii anaiyemuita baba.
Unaweza kumtafsiri Eubert kama tapeli, ila taifa lake linamuona wa maana. Anasaidia kupooza makali ya vikwazo vya kiuchumi.
Huwezi kuamini simjui huyo apostle anayeongelewa hapa....niambie tu kama ndio yeye nisiharibu bundle langu la you tubeWewe unamuonaje, kafanana na apostle Tony?
Hebu niulize maswali magumu bhana🤦🤦🤦What is knowledge?
Huyu ndiye kapola, je anafanana na hiyo picha ya yule mjuba?Huwezi kuamini simjui huyo apostle anayeongelewa hapa....niambie tu kama ndio yeye nisiharibu bundle langu la you tube
Swali gumu nililonalo ni moja tu nalo ni hiliHebu niulize maswali magumu bhana🤦🤦🤦
Swali gumu nililonalo ni moja tu nalo ni hili
"je umewahi kuota unafanya ngono ndotoni?
Mungu hadhihakiwi,muache aruke aruke siku Mungu akimuacha hata sekunde hiyo aibu yake atajuta.Kapola yuko talented na Biblia kidogo anaijua ila hajasimama katika kweli and he is only after money, show off, u celebrity na ngono na waumini wake. Anguko lake huyu dogo litakuwa la aibu kubwa. Kuna mambo anafanya pale kanisani kwake yanasikitisha sana japo kwa sasa ni kama kapatelekeza kamwachia dogo mmoja Msukuma lecturer wa SUA anaitwa Masunga.
Mwekeni katika maombi ili Mungu Amrudishe katika mstari vinginevyo it is only a matter of time before he falls maana Mungu huwa hadhihakiwi!
Waooh kumbe bado hujachezewa na mapepo!Hapana...huwa nawaza tu kabla sijalala,nikilala naota mambo ya Hela tu
Yaani huu mstari ndo huwa wanautumia matapeli ili ,muaamini kila wanachosema na muendelee kutoa sadaka .Zaburi 105:15
Don't harm my chosen servants; do not touch my prophets."
Sasa ni hivi, that is a command. Refer kitabu cha hesabu 12
Aroun na miriam wakiwa wanamuongea vibaya Musa.
So be careful ukiwa unaongea vibaya dhidi ya watumishi wa Mungu
Biblia imasema ukivaa kama wao basi nawe ni miongoni mwao sasa unavaa kama malaya ni sawa malaya tu,Mungu hana neno na malaya walio kusanyikaVimini CYO tabu angali content mkuu
Yaani huu mstari ndo huwa wanautumia matapeli ili ,muaamini kila wanachosema na muendelee kutoa sadaka .
Kumbe unamjua vizuri?mbona kutuuliza sie tena?unatuchimba sio?Kurudi moro ngumu.
Kanisa lake mm nimesali mwanzoni alikuwa kasanga.
Mahubiri yake yanawafavour Sana mademu.
Sasa baada ya kuanza visemina zake dar makumbusho kutwa yuko hapo.hana muda tena wa kurudi morogoro saa hivi kaamia morpgoro hoteli kule waluguru hawana hela mpaka wauze mpunga.
Huku dar hakuna mtume hapataki ndo maana hauwakuti wakienda Rukwa,songea sijui tunduru kutwa mjini.
mjini Hapamkatai mtu.
Muulizeni pastor kimaro