Nani anamuelewa Pastor Tony Kapola?

Nani anamuelewa Pastor Tony Kapola?

Halafu serikali ipo inamwangalia mtu kama huyu? Siku akiua watu ndiyo wanashtuka! Huyu ni mgonjwa wa akili na mahojiano yake na Millard Ayo wakati alipokwenda mbinguni ni uthibitisho tosha!

View attachment 2680258
Hapa ndio tunapokutana na mstari huu

Hosea 4:6
Watu wangu wanaangamizwa Kwa kukosa maarifa,Kwa kuwa wewe umeyakataa maarifa ,Mimi nami nitakukataa wewe usiwe kuhani kwangu mimi,Kwa kuwa umeacha kujali sheria ya Mungu wako Mimi nami sitawajali watoto wako.

Where are their parents jamani?
 
Hapa ndio tunapokutana na mstari huu

Hosea 4:6
Watu wangu wanaangamizwa Kwa kukosa maarifa,Kwa kuwa wewe umeyakataa maarifa ,Mimi nami nitakukataa wewe usiwe kuhani kwangu mimi,Kwa kuwa umeacha kujali sheria ya Mungu wako Mimi nami sitawajali watoto wako.

Where are their parents jamani?
What is knowledge?
 
Nani anamfahamu vizuri pastor Tony kapola.

Kanisa lake liko wapi ?
Nilisikia liko morogoro kutwa yupo Dar,dodoma

Kwanini waumini wake na mke wanavaa nguo za ovyo ?

Inakuaje ameungana na hawa manabii wa uongo matapeli wa zimbabwe ?
Huyu ni mhuni tu,nilishawahi kumsikiliza nikaona nae kakamata fursa tu .Motivational speaker huyu.Hana utumishi wowote.Kaamua kujiajiri kupitia dini.
 
Anaitwa Antony Kapola
Ana Masters ya Cyber security

Mkewe ana PhD.

Ana kanisa lake Morogoro ndiyo. Ila ana semina karibia Mikoa mingi. Kote huko ulipopataja. Halazimiki kubaki hapo Morogoro

Kanisa lake lipo chini ya Ministry ya Eubert Angel, huyo nabii anaiyemuita baba.

Unaweza kumtafsiri Eubert kama tapeli, ila taifa lake linamuona wa maana. Anasaidia kupooza makali ya vikwazo vya kiuchumi.
Eubert Angel,tapeli wa Zimbabwe na yule mwenzake Bushiri.
 
Huwezi kuamini simjui huyo apostle anayeongelewa hapa....niambie tu kama ndio yeye nisiharibu bundle langu la you tube
Huyu ndiye kapola, je anafanana na hiyo picha ya yule mjuba?
 

Attachments

  • Screenshot_20230706-194213.png
    Screenshot_20230706-194213.png
    136.1 KB · Views: 24
Kapola yuko talented na Biblia kidogo anaijua ila hajasimama katika kweli and he is only after money, show off, u celebrity na ngono na waumini wake. Anguko lake huyu dogo litakuwa la aibu kubwa. Kuna mambo anafanya pale kanisani kwake yanasikitisha sana japo kwa sasa ni kama kapatelekeza kamwachia dogo mmoja Msukuma lecturer wa SUA anaitwa Masunga.

Mwekeni katika maombi ili Mungu Amrudishe katika mstari vinginevyo it is only a matter of time before he falls maana Mungu huwa hadhihakiwi!
Mungu hadhihakiwi,muache aruke aruke siku Mungu akimuacha hata sekunde hiyo aibu yake atajuta.
 
Zaburi 105:15
Don't harm my chosen servants; do not touch my prophets."

Sasa ni hivi, that is a command. Refer kitabu cha hesabu 12

Aroun na miriam wakiwa wanamuongea vibaya Musa.

So be careful ukiwa unaongea vibaya dhidi ya watumishi wa Mungu
Yaani huu mstari ndo huwa wanautumia matapeli ili ,muaamini kila wanachosema na muendelee kutoa sadaka .
 
Matapeli wa injili hutumia sana vitisho

Míriam kupewa ukoma ile ilikuwa ni mision ya Mungu kumlinda Musa, najua hao matapeli hawalijui hilo kwa kuwa wao huwaza sadaka tu na ngono.
Yaani huu mstari ndo huwa wanautumia matapeli ili ,muaamini kila wanachosema na muendelee kutoa sadaka .
 
Nimecheka sana fuata ufuatavyo na daima ukishindwa kutambua achana na mambo ya watu
 
Ku
Kurudi moro ngumu.

Kanisa lake mm nimesali mwanzoni alikuwa kasanga.

Mahubiri yake yanawafavour Sana mademu.

Sasa baada ya kuanza visemina zake dar makumbusho kutwa yuko hapo.hana muda tena wa kurudi morogoro saa hivi kaamia morpgoro hoteli kule waluguru hawana hela mpaka wauze mpunga.

Huku dar hakuna mtume hapataki ndo maana hauwakuti wakienda Rukwa,songea sijui tunduru kutwa mjini.

mjini Hapamkatai mtu.

Muulizeni pastor kimaro
Kumbe unamjua vizuri?mbona kutuuliza sie tena?unatuchimba sio?
 
Back
Top Bottom