Nani anamuelewa Pastor Tony Kapola?

Nani anamfahamu vizuri pastor Tony kapola.

Kanisa lake liko wapi ?
Nilisikia liko morogoro kutwa yupo Dar,dodoma

Kwanini waumini wake na mke wanavaa nguo za ovyo ?

Inakuaje ameungana na hawa manabii wa uongo matapeli wa zimbabwe ?
Ktik moja ya mahubiri yake alipata kusema ili mtu kuwa na pesa au tajiri inampas mtu kuwa na roho mbaya zaidi na kuwa fedhuli

Naona kma Ana kitu Cha kuwaambia wtz
 
Kila penye feki original ipo.
Mitume na manabii wa kweli wapo wengi tu
As for me nakataa ila sikulazimishi uamini!

Hao unaoona wanakusanya watu kuna cha ziada wanachotumia siyo nguvu ya neno la Mungu,(japo neno la Mungu linatenda kwa wale wanaoihubiri kweli).

Manabii enzi za mababu wa imani walikuwa wanatumwa kuwakumbusha watu umuhimu wa kumrudia Mungu na kutenda mema ila hawa wa kisasa hawasemi hayo wao wanawaambia watu watafute hela haijalishi wataiba au wataloga na kwamba hakuna aliyezaliwa awe maskini,au kuwaahidi watu watamiliki magari nyumba nzuri etc vitu ambavyo haviwasaidii chochote kwenye ulimwengu wa kiroho.

Kila mtu amewekewa na Mungu uwezo wa kupambana kiimani na yanayomsibu kama umaskini mapepo etc siyo lazima kwenda kwa hao popoma,na mpaka watu waje kustuka kwamba jamaa ni wapigaji watakuwa wameng'atwa sana.
 
Ni hoja hi lkn nimekuelewa mnk Kweli wamisionari na wakoloni walitoka mbli Kuja hapa kueneza udini Ni kweli walielewa maandiko yanasema nn
 
Sasa mkuu kwenye bio yake ya Instagram ameandika Ms Cyber security Sasa inakuwaje baba mchungaji adanganye
 
Inawezekan una taarifa ya ziada kumbe Ni kibaka wa injili
 
Tony nahisi amekengeuka kiukweli kanisani kwake Malaya wengi sana, mavazi ya hovyo, hana huduma ya uponyaji, usela mwingi sana, sijui lakini kila mtu na Mungu wake ila Tony uelekeo sio anasaka pesa kwa njia sizo siku hizi
 
Buyenzi huwa nakuheshimu Sana inaelekeaa unataarifa rasm za hao vijana wawili

Kanisa liko wapi hapo Moro niende kulidhuru Kisha. Ilete update kesho
 
Kumbe
 

Hata mm nilishaudhuria mikutano yake Arusha meru Kisha baadae relini naπŸ˜‰πŸ˜† Sasa kawe naendaga na popote atakapo kuwepo namm nawepo
 
uongo
 
Umeelezea vyema sana. Pata glass moja ya gongo kwa gharama zako.
 

Dah πŸ€¦πŸ½β€β™‚οΈπŸ€¦πŸ½β€β™‚οΈπŸ€¦πŸ½β€β™‚οΈ Mungu amuhurumie kama ni kweli maana kipawa anacho
 

πŸ€¦πŸ½β€β™‚οΈπŸ€¦πŸ½β€β™‚οΈπŸ€¦πŸ½β€β™‚οΈ kazi kweli kweli
 
Nadhani unaongelea manabii wa uongo.Manabii wa kweli wanatenda miujiza.
Umasikini ni laana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…