bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Pana wachungaji wanaweka bible madhabauni na hawazifungui wote hao ni washirikina Huwa wanamezeshwa bibla na waganga.Kuna wakati flani kwenye maisha yangu ya dhambi nilienda kwa mganga mida ya asubuhi sasa nikakuta mganga kama kachoka sana. Kumuuliza ndo akasema usiku mzima alikesha anahudumia wachungaji.
Wanamezeshwaji wanachana ukurusa la kwanza yaani kitbu Cha mwanzo na kitbu Cha ufunuo wanachanga na dawa na maji wanakoroga unapewa unakunywa, Biblia nzima inakaa kichwan,wao utumia Biblia kwa kupotosha na Sio kufundisha neno la Mungu ukazia mafundisho ya kishetani mfano
.1Bwana anaangalia moyo hapa ndipo ishu za vimini na nguo za kupromote ngono na uzinzi makanisani
2.Mfalme daudi alicheza akabaki uchi hapa ndipo zilipoingizwa densi za mikatiko ya kingono isiyo na staha Wala heshima kwa Mungu.Beat za kuzimu makanisani mfano amapiano,rap,taarabu,singeli nk
3 Visaidizi mfano upako,chumvi,nk