Nilidhani baada ya aliyekuwa Kadinali wa Kanisa la Katoliki Tanzania ambaye pia ni Askofu Jimbo la Dar es Salaam, Muadhama Askofu Pengo kustaafu na kurithiwa na Askofu Yuda, kwamba mrithi wake angerithi vyeo vyote viwili.
Lakini nimeona sivyo kwani Baba Askofu Yuda anatambuliwa na kuitwa Askofu wa Jimbo kuu Katoliki Dar es Salaam.
Je, Cheo cha Kadinali hakipo kwa sasa?
Au muundo wa kanisa unasemaje?
Lakini nimeona sivyo kwani Baba Askofu Yuda anatambuliwa na kuitwa Askofu wa Jimbo kuu Katoliki Dar es Salaam.
Je, Cheo cha Kadinali hakipo kwa sasa?
Au muundo wa kanisa unasemaje?