balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Ashazeeka hawezi,inabid awe na umri chini ya 80Je kardinali Pengo baada ya kustaafu cheo chake bado anaruhusiwa kumchagua Papa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ashazeeka hawezi,inabid awe na umri chini ya 80Je kardinali Pengo baada ya kustaafu cheo chake bado anaruhusiwa kumchagua Papa?
Mwakilishi wa Papa ni balozi wa Vatican katika nchi.Duh, leo tutalishwa matangopori mpaka tukome! Unajua maana ya Monsignor? Kusema kwamba ni mkubwa wa kanisa Katoliki utakuwa hauko sawa. Monsignor ni utambulisho tu wala siyo cheo kwenye mlolongo wa utawala wa kanisa Katoliki.
Jumuiya isiyo ya kikanisa ndani ya kanisa yaani NCO iliyoundwa na Maaskofu na kati yao wanamchagua mmoja kuwa mwenyekiti wao.Kikanisa kila askofu ni alfa na omega kwenye jimbo lake.Baraza la maskofu maana yake nn? Na raisi huwa ni padri au askofu?
Pale watanzania hasa wakatoliki MLIPIGWA.Yaani mi ndo nilijua yeye ndio mkuu wa wakatoliki tz.
Hakuna askofu mkuu wa RCKadinali ni cheo. Cheo hicho hutambulika Kama maseneta au wajumba wa kamati kuu walio pewa kibali Cha kumchagua Papa. Hapa tz Kuna balozi wa Vatican nae ni askof makazi yake yapo pale St Peters church na Kuna kiongozi mkuu wa RC yeye makazi yake yapo kurasini makao makuu ya Rc Tanzania.
Kadinali msaafu anaheshimika zaidi anapokuwa Vatican Kwa shuguli maalum. Hapa duniani nadhani wapo 21 hao wote wanatoka nchi mbalimbali. Kwa mfano pengo hapa kwetu yupo chini ya askofu mkuu wa RC Kama nilivyosema makazi yake yapo Kurasini.
Ndio Hadi afikishe Miaka 80 nadhaniJe kardinali Pengo baada ya kustaafu cheo chake bado anaruhusiwa kumchagua Papa?
Kila nchi Ina kadinali wakeKama kardinali ni cheo basi atakuwa amestaafu pia maana nnavyoelewa Papa anaweza kumchagua kardinali kutoka nchi yoyote sio lazima iwe Tanzania.
Sio lazima kila nchi iwe na kadinali. Uteuzi wa nani awe kadinali kutoka nchi gani ni mamlaka ya Papa mwenyewe kadiri itakavyompendeza.Kila nchi Ina kadinali wake
Pengo nae atakuja staafu hiko cheo na atachaguliwa kadinali mwingine toka hapa hapa Tanzania
Ni kama Makonda naye alikuwa akijiona ni mkuu wa wakuu wa mikoa wote. [emoji4]Ila Kardinali Pengo alitumia vizuri sana title ya Mkuu wa Kanisa K.atoliki Tanzania (aliyopewa na Waandishi wa habari)
Sawa[emoji849]Sio lazima kila nchi iwe na kadinali. Uteuzi wa nani awe kadinali kutoka nchi gani ni mamlaka ya Papa mwenyewe kadiri itakavyompendeza.
Pia ifahamike na wote kwamba chini ya umri wa miaka 75 kadinali yeyote ana nafasi sawa na wenzie ya kuchaguliwa kuwa Papa endapo uchaguzi utafanyika; zaidi ya miaka 80 kadinali hawezi kupiga kura kumchagua Papa.
Nilidhani baada ya aliyekuwa Kadinali wa Kanisa la Katoliki Tanzania ambaye pia ni Askofu Jimbo la Dar es Salaam, Muadhama Askofu Pengo kustaafu na kurithiwa na Askofu Yuda, kwamba mrithi wake angerithi vyeo vyote viwili.
Lakini nimeona sivyo kwani Baba Askofu Yuda anatambuliwa na kuitwa Askofu wa Jimbo kuu Katoliki Dar es Salaam.
Je, Cheo cha Kadinali hakipo kwa sasa?
Au muundo wa kanisa unasemaje?