Kadinali ni cheo. Cheo hicho hutambulika Kama maseneta au wajumba wa kamati kuu walio pewa kibali Cha kumchagua Papa. Hapa tz Kuna balozi wa vatcan nae ni askof makazi yake yapo pale St piter church na Kuna kiongozi mkuu wa Rc yeye makazi yake yapo kurasini makao makuu ya Rc Tanzania. Kadinali msaafu anaheshimika zaidi anapo kuwa vatcan Kwa shuguli maalum hapa duniani nadhani wapo 21 hao wote wanatoka nchi mbalimbali. Kwa mfano pengo hapa kwetu yupo chini ya askofu mkuu wa Rc Kama nilivyo Seema makazi yake yapo kurasini.
Je, kardinali Pengo baada ya kustaafu cheo chake bado anaruhusiwa kumchagua Papa?
Kama kardinali ni cheo basi atakuwa amestaafu pia maana nnavyoelewa Papa anaweza kumchagua kardinali kutoka nchi yoyote sio lazima iwe Tanzania.Kwasasa bado ni kardinali na alichokistaafu yeye ni cheo cha uskofu mkuu,hana jimbo ambalo analiongoza.Hivyo anaruhusiwa hadi atakapoteuliwa kardinali mwingine
Ingaww una uelewa kiasi lakini huna huelewa sahihi, unapotosha.Kadinali ni cheo. Cheo hicho hutambulika Kama maseneta au wajumba wa kamati kuu walio pewa kibali Cha kumchagua Papa. Hapa tz Kuna balozi wa vatcan nae ni askof makazi yake yapo pale St piter church na Kuna kiongozi mkuu wa Rc yeye makazi yake yapo kurasini makao makuu ya Rc Tanzania. Kadinali msaafu anaheshimika zaidi anapo kuwa vatcan Kwa shuguli maalum hapa duniani nadhani wapo 21 hao wote wanatoka nchi mbalimbali. Kwa mfano pengo hapa kwetu yupo chini ya askofu mkuu wa Rc Kama nilivyo Seema makazi yake yapo kurasini.
Kitu usichokijuwa ni bora uulize kama mleta mada.Rais wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) ndio kiongozi mkuu.
Tuanzie hapo!
Acha kupotosha hakuna askofu mkuu wa RC Tanzania, RC haliongozwi hivyo. Kila Askofu ana mamlaka kamili katika jimbo lake.Kadinali ni cheo. Cheo hicho hutambulika Kama maseneta au wajumba wa kamati kuu walio pewa kibali Cha kumchagua Papa. Hapa tz Kuna balozi wa vatcan nae ni askof makazi yake yapo pale St piter church na Kuna kiongozi mkuu wa Rc yeye makazi yake yapo kurasini makao makuu ya Rc Tanzania. Kadinali msaafu anaheshimika zaidi anapo kuwa vatcan Kwa shuguli maalum hapa duniani nadhani wapo 21 hao wote wanatoka nchi mbalimbali. Kwa mfano pengo hapa kwetu yupo chini ya askofu mkuu wa Rc Kama nilivyo Seema makazi yake yapo kurasini.
Usipotoshe, wewe si mkatoliki. Wakatoliki hatuna Askofu mkuu wa Tanzania. Kila Askofu ni mkuu na ana mamlaka kamili katika jimbo lake.Rais wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) ndio kiongozi mkuu.
Tuanzie hapo!
Wrooong mkuu. Sivyo kabisa. Hakuna Askofu mkuu wa Tz. Kila Jimbo Askofu muhusika ndiye mkuu wa jimbo husika na basi. Kuna mdau amejibu vyema huko juu. Na kardinali siyo Cheo. Hawa ni maaskofu ambao huteuliwa na Papa na si lazima kwa nchi kuwa na mwakilishi.Kadinali ni cheo. Cheo hicho hutambulika Kama maseneta au wajumba wa kamati kuu walio pewa kibali Cha kumchagua Papa. Hapa tz Kuna balozi wa vatcan nae ni askof makazi yake yapo pale St piter church na Kuna kiongozi mkuu wa Rc yeye makazi yake yapo kurasini makao makuu ya Rc Tanzania. Kadinali msaafu anaheshimika zaidi anapo kuwa vatcan Kwa shuguli maalum hapa duniani nadhani wapo 21 hao wote wanatoka nchi mbalimbali. Kwa mfano pengo hapa kwetu yupo chini ya askofu mkuu wa Rc Kama nilivyo Seema makazi yake yapo kurasini.