Nani anaongoza Kanisa Katoliki Tanzania kwa sasa?

Duh, leo tutalishwa matangopori mpaka tukome! Unajua maana ya Monsignor? Kusema kwamba ni mkubwa wa kanisa Katoliki utakuwa hauko sawa. Monsignor ni utambulisho tu wala siyo cheo kwenye mlolongo wa utawala wa kanisa Katoliki.
Mwakilishi wa Papa ni balozi wa Vatican katika nchi.
 
Baraza la maskofu maana yake nn? Na raisi huwa ni padri au askofu?
Jumuiya isiyo ya kikanisa ndani ya kanisa yaani NCO iliyoundwa na Maaskofu na kati yao wanamchagua mmoja kuwa mwenyekiti wao.Kikanisa kila askofu ni alfa na omega kwenye jimbo lake.
 
Hakuna askofu mkuu wa RC

Acha kudanganya
 
Kama kardinali ni cheo basi atakuwa amestaafu pia maana nnavyoelewa Papa anaweza kumchagua kardinali kutoka nchi yoyote sio lazima iwe Tanzania.
Kila nchi Ina kadinali wake

Pengo nae atakuja staafu hiko cheo na atachaguliwa kadinali mwingine toka hapa hapa Tanzania
 
Kila nchi Ina kadinali wake

Pengo nae atakuja staafu hiko cheo na atachaguliwa kadinali mwingine toka hapa hapa Tanzania
Sio lazima kila nchi iwe na kadinali. Uteuzi wa nani awe kadinali kutoka nchi gani ni mamlaka ya Papa mwenyewe kadiri itakavyompendeza.

Pia ifahamike na wote kwamba chini ya umri wa miaka 75 kadinali yeyote ana nafasi sawa na wenzie ya kuchaguliwa kuwa Papa endapo uchaguzi utafanyika; zaidi ya miaka 80 kadinali hawezi kupiga kura kumchagua Papa.
 
Sawa[emoji849]
 
Biblia
 
Kiongozi wa makanisa yote kwa sasa ni Le Dikteta Magufoool
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…