Kirchhoff JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 5,735 Reaction score 8,541 Oct 20, 2022 #1 Nikaamua nizipigie niwaambie nimeshatuma nisikie watasemaje. Kupiga namba zote hazipo. Namba hazipo zinatumaje message? Zinapata wapi Salio? CC: Airtel, TCRA na wengineo.
Nikaamua nizipigie niwaambie nimeshatuma nisikie watasemaje. Kupiga namba zote hazipo. Namba hazipo zinatumaje message? Zinapata wapi Salio? CC: Airtel, TCRA na wengineo.
jerryempire JF-Expert Member Joined Jan 4, 2017 Posts 5,530 Reaction score 9,550 Oct 20, 2022 #2 Kirchhoff said: View attachment 2392680 Nikaamua nizipigie niwaambie nimeshatuma nisikie watasemaje. Kupiga namba zote hazipo. Namba hazipo zinatumaje message? Zinapata wapi Salio? CC: Airtel, TCRA na wengineo. Click to expand... hazipatikani lakini hela inafika na inatolewa kweli kuna umuhimu wa kuanzisha vyuo vingi vinavyotoa course ya cyber security
Kirchhoff said: View attachment 2392680 Nikaamua nizipigie niwaambie nimeshatuma nisikie watasemaje. Kupiga namba zote hazipo. Namba hazipo zinatumaje message? Zinapata wapi Salio? CC: Airtel, TCRA na wengineo. Click to expand... hazipatikani lakini hela inafika na inatolewa kweli kuna umuhimu wa kuanzisha vyuo vingi vinavyotoa course ya cyber security
Masseto JF-Expert Member Joined May 14, 2020 Posts 1,615 Reaction score 3,205 Oct 20, 2022 #3 jerryempire said: hazipatikani lakini hela inafika na inatolewa kweli kuna umuhimu wa kuanzisha vyuo vingi vinavyotoa course ya cyber security Click to expand... Unamawazo ya mbele zaid ya muda kaka, sisi bado tunakomaa na upinzani kwanza adi tuwatokomeze ndio tulijadiri ilo wazo lako
jerryempire said: hazipatikani lakini hela inafika na inatolewa kweli kuna umuhimu wa kuanzisha vyuo vingi vinavyotoa course ya cyber security Click to expand... Unamawazo ya mbele zaid ya muda kaka, sisi bado tunakomaa na upinzani kwanza adi tuwatokomeze ndio tulijadiri ilo wazo lako
mkorinto JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 31,415 Reaction score 38,761 Oct 20, 2022 #4 jerryempire said: hazipatikani lakini hela inafika na inatolewa kweli kuna umuhimu wa kuanzisha vyuo vingi vinavyotoa course ya cyber security Click to expand... polisi wamekaa paleee,wananong'ona acha watu wapigwe akili zikae sawa.
jerryempire said: hazipatikani lakini hela inafika na inatolewa kweli kuna umuhimu wa kuanzisha vyuo vingi vinavyotoa course ya cyber security Click to expand... polisi wamekaa paleee,wananong'ona acha watu wapigwe akili zikae sawa.
Kirchhoff JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 5,735 Reaction score 8,541 Oct 20, 2022 Thread starter #5 mkorinto said: polisi wamekaa paleee,wananong'ona acha watu wapigwe akili zikae sawa. Click to expand... Tatizo si kupigwa hata kuathirika kisaikolojia tunaathirika pia.
mkorinto said: polisi wamekaa paleee,wananong'ona acha watu wapigwe akili zikae sawa. Click to expand... Tatizo si kupigwa hata kuathirika kisaikolojia tunaathirika pia.