Nani anasajili na kufunga hizi Line za Matapeli?

Kirchhoff

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
5,735
Reaction score
8,541
Screenshot_20221020-130703171.png

Nikaamua nizipigie niwaambie nimeshatuma nisikie watasemaje.
Kupiga namba zote hazipo.

Namba hazipo zinatumaje message? Zinapata wapi Salio?
CC: Airtel, TCRA na wengineo.
 
View attachment 2392680

Nikaamua nizipigie niwaambie nimeshatuma nisikie watasemaje.
Kupiga namba zote hazipo.

Namba hazipo zinatumaje message? Zinapata wapi Salio?
CC: Airtel, TCRA na wengineo.
hazipatikani lakini hela inafika na inatolewa
kweli kuna umuhimu wa kuanzisha vyuo vingi vinavyotoa course ya cyber security
 
Unamawazo ya mbele zaid ya muda kaka, sisi bado tunakomaa na upinzani kwanza adi tuwatokomeze ndio tulijadiri ilo wazo lako
 
hazipatikani lakini hela inafika na inatolewa
kweli kuna umuhimu wa kuanzisha vyuo vingi vinavyotoa course ya cyber security

polisi wamekaa paleee,wananong'ona acha watu wapigwe akili zikae sawa.
 
Back
Top Bottom