Nani anasimamia maslahi ya Tanganyika kwenye Serikali ya Muungano?

Luggy

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2012
Posts
4,152
Reaction score
4,076
Ni wazi kwamba Wazanzibari wanalinda sana maslahi yao kwenye Muungano.Muundo wa Muungano unawapa nafasi hii kwa sababu Muungano unaitambua Zanzibar lakini umeua uwepo wa Tanganyika.

Kumekuwa na malalamika,kwa mafano Wazanzibari kuajiriwa kwenye idara na Wizara ambazo si za Muungano,mfano Mzanzibari anateuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya Tanganyika,Je,Serikali za Mitaa ni suala la Muungano?

Je Mtanganyika aweza ajiriwa na Serikali ya Mapinduzi?,ana inakuwaje Mzanzibari aweze kumiliki Ardhi Tanganyika wakati Mtanganyika hawezi kumiliki ardhi Zanzibar.Kwa haya machache ,inawezekana kuna mambo mengi sanat tusiyoyafahamu ambayo yanaiumiza Tanganyika kwenye huu Muungano.Na viongozi wa Tanganyika katika Muunano ni kama wanaona sawa tu .....

NANI ANASIMAMIA MASLAHI YA TANGANYIKA?
 
HAMNA
 
Tanzania bara, hakuna sehemu Watanganyika tunatambuliwa au tunapata upendeleo kutokana na Utanganyika wetu ila Wazanzibari wana ya kwao ambayo hawataki tuyaguse
Sabab ni nyepes mnoo, nchi yetu imemezwa na nchi mpya. Tunatakiwa tukubali kuwa hata leo hii muungano ukivunjwa Tanzania itabakia kuwa Tanzania haitarud kuwa Tanganyika. Ile Transformation imeibadl nchi kuwa mpya n kuiongezea mikoa ambyo ni nchi nyingine. Zanziba kikatiba n nchi, kimuundo ni kam mkoa unaonufsik kil kit cha nchi
 
Ni wazi kwamba Wazanzibari wanalinda sana maslahi yao kwenye Muungano.Muundo wa Muungano unawapa nafasi hii kwa sababu Muungano unaitambua Zanzibar lakini umeua uwepo wa Tanganyika.

Kumekuwa na malalamika,kwa mafano Wazanzibari kuajiriwa kwenye idara na Wizara ambazo si za Muungano,mfano Mzanzibari anateuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya Tanganyika,Je,Serikali za Mitaa ni suala la Muungano?

Je Mtanganyika aweza ajiriwa na Serikali ya Mapinduzi?,ana inakuwaje Mzanzibari aweze kumiliki Ardhi Tanganyika wakati Mtanganyika hawezi kumiliki ardhi Zanzibar.Kwa haya machache ,inawezekana kuna mambo mengi sanat tusiyoyafahamu ambayo yanaiumiza Tanganyika kwenye huu Muungano.Na viongozi wa Tanganyika katika Muunano ni kama wanaona sawa tu .....

NANI ANASIMAMIA MASLAHI YA TANGANYIKA?
Wachezaji wa Zanzibar!
 
Haki ya mtu haipotei hucheleweshwa tu, Mungu atatulipa.
 
Ukiyaona yanayoendelea, hawa wachache kutoka pande zile hawajali kabisa kesho yetu itakuwaje.
Wana uwezo mdogo na wanakosa maarifa.
Sijawahi kuona nchi inayoongozwa kwa bahati bahati ikatoboa...nchi ambayo ukiuliza kitu unaonekana mbaya.
 
Ni wazi kwamba Wazanzibari wanalinda sana maslahi yao kwenye Muungano.Muundo wa Muungano unawapa nafasi hii kwa sababu Muungano unaitambua Zanzibar lakini umeua uwepo wa Tanganyika.

Kumekuwa na malalamika,kwa mafano Wazanzibari kuajiriwa kwenye idara na Wizara ambazo si za Muungano,mfano Mzanzibari anateuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya Tanganyika,Je,Serikali za Mitaa ni suala la Muungano?

Je Mtanganyika aweza ajiriwa na Serikali ya Mapinduzi?,ana inakuwaje Mzanzibari aweze kumiliki Ardhi Tanganyika wakati Mtanganyika hawezi kumiliki ardhi Zanzibar.Kwa haya machache ,inawezekana kuna mambo mengi sanat tusiyoyafahamu ambayo yanaiumiza Tanganyika kwenye huu Muungano.Na viongozi wa Tanganyika katika Muunano ni kama wanaona sawa tu .....

NANI ANASIMAMIA MASLAHI YA TANGANYIKA?
Tanganyika ni shamba la Bibi... Burudani kwa wote!
 
Muungano wetu ni Muungano very unique, kwa upande mmoja wa kimataifa, Muungano wetu ni wa union ambapo nchi mbili, zimeungana kuunda nchi moja ya JMT yenye serikali moja ya serikali ya JMT, yenye rais mmoja wa JMT, zile nchi zote mbili zimekabidhi mamlaka zake zote kwa JMT.

Lakini kwa ndani ya muungano, huu ni muungano wa fereration ya nchi mbili, yenye serikali mbili, marais wawili, mabunge mawili na mahakama mbili, ambaza ni serikali ya Tanzania na SMZ, maslahi yote ya iliyokuwa Tanganyika, yako ndani ya serikali ya Tanzania.

P
 
Ni wazi kwamba Wazanzibari wanalinda sana maslahi yao kwenye Muungano.Muundo wa Muungano unawapa nafasi hii kwa sababu Muungano unaitambua Zanzibar lakini umeua uwepo wa Tanganyika.

Kumekuwa na malalamika,kwa mafano Wazanzibari kuajiriwa kwenye idara na Wizara ambazo si za Muungano,mfano Mzanzibari anateuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya Tanganyika,Je,Serikali za Mitaa ni suala la Muungano?

Je Mtanganyika aweza ajiriwa na Serikali ya Mapinduzi?,ana inakuwaje Mzanzibari aweze kumiliki Ardhi Tanganyika wakati Mtanganyika hawezi kumiliki ardhi Zanzibar.Kwa haya machache ,inawezekana kuna mambo mengi sanat tusiyoyafahamu ambayo yanaiumiza Tanganyika kwenye huu Muungano.Na viongozi wa Tanganyika katika Muunano ni kama wanaona sawa tu .....

NANI ANASIMAMIA MASLAHI YA TANGANYIKA?
Ni waziri mkuu kwa mujibu wamuundo ulivyo
 
Aliyemtisha na kumuogopesha Nyerere kuungana na wabaguzi roho mbaya mazanzibar alaaniwe milele.

Na sasa kuuvunja huo muungano mchafu sio rahisi.

Utadhani mzee Baba Mwl mchonga alikuwa amelewa akisaini hati ya muunganano.

Namkubali pakubwa mchonga kwa mengine ila muungano, duuuh hapana.
 
Back
Top Bottom