Nani anasimamia maslahi ya Tanganyika kwenye Serikali ya Muungano?

Muungano wetu ni Muungano very unique, kwa upande mmoja wa kimataifa, Muungano wetu ni wa union ambapo nchi mbili, zimeungana kuunda nchi moja ya JMT yenye serikali moja ya serikali ya JMT, yenye rais mmoja wa JMT, zile nchi zote mbili zimekabidhi mamlaka zake zote kwa JMT.

Lakini kwa ndani ya muungano, huu ni muungano wa fereration ya nchi mbili, yenye serikali mbili, marais wawili, mabunge mawili na mahakama mbili, ambaza ni serikali ya Tanzania na SMZ, maslahi yote ya iliyokuwa Tanganyika, yako ndani ya serikali ya Tanzania.

P
sasa hapo kwenye Federation ndo pana tatizo,ndo nionapo mimi maslah ya Tanganyika hayana msimamizi,yaani hatujui Tanganyika inaanzia wapi na kuishia wapi,na wapi JMT inaanzia,na viongozi wetu ni kama hawajali
 
Ni wazi kwamba Wazanzibari wanalinda sana maslahi yao kwenye Muungano.Muundo wa Muungano unawapa nafasi hii kwa sababu Muungano unaitambua Zanzibar lakini umeua uwepo wa Tanganyika.

Kumekuwa na malalamika,kwa mafano Wazanzibari kuajiriwa kwenye idara na Wizara ambazo si za Muungano,mfano Mzanzibari anateuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya Tanganyika,Je,Serikali za Mitaa ni suala la Muungano?

Je Mtanganyika aweza ajiriwa na Serikali ya Mapinduzi?,ana inakuwaje Mzanzibari aweze kumiliki Ardhi Tanganyika wakati Mtanganyika hawezi kumiliki ardhi Zanzibar.Kwa haya machache ,inawezekana kuna mambo mengi sanat tusiyoyafahamu ambayo yanaiumiza Tanganyika kwenye huu Muungano.Na viongozi wa Tanganyika katika Muunano ni kama wanaona sawa tu .....

NANI ANASIMAMIA MASLAHI YA TANGANYIKA?
Kuna watu wamelambishwa asali na hivyo wamekubali kuwa wasaliti.
 
Mwigulu🤣🤣🤣
Inasikitisha
 
sasa hapo kwenye Federation ndo pana tatizo,ndo nionapo mimi maslah ya Tanganyika hayana msimamizi,yaani hatujui Tanganyika inaanzia wapi na kuishia wapi,na wapi JMT inaanzia,na viongozi wetu ni kama hawajali
Tanganyika died long ago, it doesnt exist anymore, kilichopo sasa ni Tanzania, maslahi yote yako ndani ya JMT na yanalindwa!.
P
 
Ni wazi kwamba Wazanzibari wanalinda sana maslahi yao kwenye Muungano.Muundo wa Muungano unawapa nafasi hii kwa sababu Muungano unaitambua Zanzibar lakini umeua uwepo wa Tanganyika.

Kumekuwa na malalamika,kwa mafano Wazanzibari kuajiriwa kwenye idara na Wizara ambazo si za Muungano,mfano Mzanzibari anateuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya Tanganyika,Je,Serikali za Mitaa ni suala la Muungano?

Je Mtanganyika aweza ajiriwa na Serikali ya Mapinduzi?,ana inakuwaje Mzanzibari aweze kumiliki Ardhi Tanganyika wakati Mtanganyika hawezi kumiliki ardhi Zanzibar.Kwa haya machache ,inawezekana kuna mambo mengi sanat tusiyoyafahamu ambayo yanaiumiza Tanganyika kwenye huu Muungano.Na viongozi wa Tanganyika katika Muunano ni kama wanaona sawa tu .....

NANI ANASIMAMIA MASLAHI YA TANGANYIKA?
Anaesimamia maslahi ya Tanganyika ndani ya muungano ni YUDA ESKARIOTI
 
Mwawazo na Imani yangu ni hamna!
 
Serikali ya ccm bara imerithishwa mindset ya.chief Mangungo wa Msovero.

Kwenye siasa reincarnation is real
 
Back
Top Bottom