Nani anasimamia maslahi ya Tanganyika kwenye Serikali ya Muungano?

sasa hapo kwenye Federation ndo pana tatizo,ndo nionapo mimi maslah ya Tanganyika hayana msimamizi,yaani hatujui Tanganyika inaanzia wapi na kuishia wapi,na wapi JMT inaanzia,na viongozi wetu ni kama hawajali
 
Kuna watu wamelambishwa asali na hivyo wamekubali kuwa wasaliti.
 
Mwigulu🤣🤣🤣
Inasikitisha
 
sasa hapo kwenye Federation ndo pana tatizo,ndo nionapo mimi maslah ya Tanganyika hayana msimamizi,yaani hatujui Tanganyika inaanzia wapi na kuishia wapi,na wapi JMT inaanzia,na viongozi wetu ni kama hawajali
Tanganyika died long ago, it doesnt exist anymore, kilichopo sasa ni Tanzania, maslahi yote yako ndani ya JMT na yanalindwa!.
P
 
Anaesimamia maslahi ya Tanganyika ndani ya muungano ni YUDA ESKARIOTI
 
Mwawazo na Imani yangu ni hamna!
 
Serikali ya ccm bara imerithishwa mindset ya.chief Mangungo wa Msovero.

Kwenye siasa reincarnation is real
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…