Nani anastahili kutwaa tuzo ya mchezaji bora VPL?

Nani anastahili kutwaa tuzo ya mchezaji bora VPL?

Kwa uhalisia mchezaji Bora ni Abdulmajid Mangalo lakini kwa ushabiki wa Simba apewe chama tu
Takwimu zake plz,kama ni kiba ana saves na clean sheet ngapi,kama ni beki ana tacking ngapi, aerial dual ngapi na clearance ngapi,kama ni kiungo ana assist ngapi na key pass ngapi,kama ni straiker ana goli ngapi.Twende sawa.
 
Clatous Chota Chama (Tripple C) anastahili zaidi this season 9 goals 15 assist ..... kwa mbaali Nado mwenye goli 10 na assist 8 ila hata mmakonde Luis Josee nae ana stats nzuriii bila kusahau Manula na Ambundo wa dodoma Jiji
 
No doubt!.

Chama anastahili.

Ila mimi ni Mshabiki Mkubwa sana wa Miquessone kuliko mchezaji yeyote Bongo. Ila kwa kuwa mpira unaangalia statistics zaidi basi apewe CCC.

Lakini spirit ya Mmakonde ni level nyingine.
🙌🏻🙌🏻🙌🏻
 
Back
Top Bottom