Nani anastahili kutwaa tuzo ya mchezaji bora VPL?

Nani anastahili kutwaa tuzo ya mchezaji bora VPL?

No doubt!.

Chama anastahili.

Ila mimi ni Mshabiki Mkubwa sana wa Miquessone kuliko mchezaji yeyote Bongo. Ila kwa kuwa mpira unaangalia statistics zaidi basi apewe CCC.

Lakini spirit ya Mmakonde ni level nyingine.
mimi pia mchezaji wangu bora kwa msimu huu ni huyu mmakonde 💪
 
Kisinda. Ana uwezo wa kukimbia toka golini kwao mpaka goli la adui kwa kasi kubwa..... Anakimbia 40km/hr
Akifika golini anapitiliza anaenda mpaka jeshini, akirudi mpira umeisha.
 
Back
Top Bottom