barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Siku hizi ni takwimu tu...Kwa uhalisia mchezaji Bora ni Abdulmajid Mangalo lakini kwa ushabiki wa Simba apewe chama tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku hizi ni takwimu tu...Kwa uhalisia mchezaji Bora ni Abdulmajid Mangalo lakini kwa ushabiki wa Simba apewe chama tu
1.Abdul Majid MangaloLigi ya VPL imemalizika jana, taja mchezaji anayestahili kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa msimu!!
Mkuu kwanini "unawatukana" watu wazima ?
Sawa mkuu1.Abdul Majid Mangalo
2. Shomari Kapombe
3. Mohamed Hussein
4. Mukoko Tonombe
5. Kibu Dennis
6. Cleophace Mukandala
7. Aishi Manula
8. John Bocco.
Ila kuna uwezekano mkubwa sana Aishi Manula akabeba
Mkuu pamoja na kwamba hayo ni mawazo yako, lakini kwa sababu yako kwenye jukwaa huru, si vibaya kuyajadili.1.Abdul Majid Mangalo
2. Shomari Kapombe
3. Mohamed Hussein
4. Mukoko Tonombe
5. Kibu Dennis
6. Cleophace Mukandala
7. Aishi Manula
8. John Bocco.
Ila kuna uwezekano mkubwa sana Aishi Manula akabeba
Moja ya mafanikio makubwa ya Mangalo ni Biashara United kufanikiwa kuingia katika mashindano ya CAF.Mkuu pamoja na kwamba hayo ni mawazo yako, lakini kwa sababu yako kwenye jukwaa huru, si vibaya kuyajadili.
Nimeona wadau wengi sana wamemjumuisha Abdu Majid Mangalo.
Mimi nadhani kuna tofauti kati ya mchezaji aliyecheza vizuri na mchezaji bora wa msimu.
Mangalo amecheza vizuri karibia msimu mzima, na wachezaji wa namna hii wapo wengi sana katika ligi. Lakini hiyo haitoshi kumpa tuzo ya mchezaji bora wa ligi.
Mchezaji bora wa ligi ni mchezaji ambaye kwa kifupi ni kwamba "amewashinda wote" (kwa performance) kwa msimu mzima.
Sasa sikumbuki kama Mangalo amewahi kuwa hata mchezaji bora wa mwezi. Labda unikumbushe.
Pili, mimi ukiniwekea Onyango, Dickson Job na Mangalo, useme nani ame perform vizuri msimu huu, bado Mangalo atashika nafasi ya tatu.
Nina hakika hao wawili niliowataja chances zao za kuwa mchezaji bora wa ligi ni ndogo mno, then Mangalo anawezaje kuwa favourites wa tuzo hiyo kubwa kabisa katika ligi ?
Nimeona nihoji hapo kwa Mangalo maana anajirudia rudia katika kutajwa lakini vigezo havitajwi vya yeye kuwapo hapo. Kwa Mukandala nimeona hata nisiulize, maana sidhani kama anatosha hata kuwa top performer ndani ya kikosi cha Dodoma jiji.
No hard feelings mkuu.
Mkuu kuna sababu zozote za kumjumuisha Mangalo kama favourites wa tuzo ya mchezaji bora wa ligi ?Manula
Chama
Luis
Mangalo
Kapombe
🤣 🤣 🤣 🤣 Walahi nimecheka kwa sautiNi yeye TK master,anakimbia mpaka anauacha mpira nyuma[emoji23]
This is too low to be crowned MVP wa ligi mkuu. Yaani kwa maneno mengine awe amewashinda wachezaji wengine wote, mathalani ambao nao wamezisaidia timu zao kushiriki mashindano ya CAF, (wachezaji takribani 70 wa AZAM, YANGA na SIMBA) kwa jambo hilo tu ?Moja ya mafanikio makubwa ya Mangalo ni Biashara United kufanikiwa kuingia katika mashindano ya CAF.